Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAITI AZIKWA KIMAAJABU!

Katika hali isiyokuwa  ya kawaida na kushangaza, wananchi wa Mbezi Msakuzi Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, walisusa na kuondoka makaburini kwa kile kilichodaiwa kuwa maiti ya Michael Kisanto (pichani) waliyotarajia kuizika iliwekwa ndani ya  jeneza kimaajabu. Mazishi ya Michael Krisanto yakiendelea. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika Makaburi ya Makamba Msakuzi, Mbezi jijini Dar es Salaam ambapo wananchi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KABURI LA KUAMBIANA LATOBOKA KIMAAJABU

SIKU chache baada ya kukutwa mauzauza katika kaburi la mwigizaji Rachel Haule ‘Recho’, kaburi la mwigizaji Adam Kuambiana (pichani)limekutwa limetoboka kimaajabu. Kaburi la aliyekuwa mwigizaji wa muvi Bongo, Adam Phillip Kuambiana. Gazeti la Risasi Jumamosi toleo la Julai 19, mwaka huu lilikuwa na babari yenye kichwa cha habari kisemacho: ‘Uchawi kaburini kwa Recho.’ Kwenye habari hiyo, ilielezwa kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Y P AZIKWA

Marehemu Yesaya Ambikile Mwakalekamo 'YP' amezikwa hii leo katika makaburi ya Changombe jijini Dar es salaam.Marehemu YP alifariki jana baada ya kuugua kifua na kulazwa katika Hospitali ya Temeke hadi mauti yalipo mkuta.Awali kabla ya maziko hayo YP aliagwa na ndugu jamaa na marafiki zake katuika viwanja vya sigara Chang'ombe ambapo wasanii mbalimbali wa muziki wa Bongo fleva na Bongo muvi walihudhuria.YP kabla ya kuhamia katika sanaa ya uimbaji na kuibuka na kundi la wanaume Family alikuwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Kigoda azikwa

MTZ DAILY.inddAMINA OMARI, HANDENI NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM

MWILI wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda, umezikwa katika Kata ya Chanika iliyopo Handeni mkoani Tanga.

Mazishi hayo yaliyofanyika jana yaliongozwa na Rais Jakaya Kikwete.

Akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya wabunge wakati wa mazishi hayo, Spika wa Bunge, Anne Makinda, alisema Serikali imepoteza mtu mchapakazi, muadilifu na mwenye fikra za maendeleo ya mageuzi ya uchumi wa nchi hii.

Alisema Dk. Kigoda...

 

11 years ago

GPL

ADAM KUAMBIANA AZIKWA

Mazishi ya mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Kuambiana yamefanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar. Kabla ya mazishi mwili wa marehemu uliagwa na maelfu katika Viwanja vya Leaders jijini Dar. Mungu ailaze roho ya marehemu, mahali pema peponi.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Senzo Meyiwa azikwa

Mazishi makubwa yafanywa Durban, Afrika Kusini, ya nahodha wa timu ya taifa, Senzo Meyiwa

 

11 years ago

GPL

MCHUNGAJI AZIKWA KIISLAM

Na Chande Abdallah
Maajabu! Mchungaji wa Kanisa la Pentecostal Spirit and Truth, Amani Rubeni Mirumbe ameushangaza ulimwengu kwa kujitabiria kifo na baadaye kufariki dunia kweli huku akiwaachia waumini na familia yake wosia wenye viashiria vya kuzikwa Kiislam, Amani linakujuza. Mwili wa mchungaji Amani Rubeni Mirumbe ukiagwa. Kifo hicho kilijiri saa 3:12 asubuhi ya Machi 24, mwaka huu, Mabibo jijini Dar es Salaam mahali...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mazrui hatimaye azikwa

Msomi maarufu marehemu Profesa Ali Mazrui hatimaye amezikwa.

 

11 years ago

GPL

MZEE GURUMO AZIKWA

Mwili wa marehemu Muhidin 'Maalim' Gurumo ukiwekwa eneo la makaburi ya Masaki-Kasarawe tayari kwa maziko. Mwili wa Mzee Gurumo umezikwa makaburi ya Masaki-Kisarawe, Pwani ambapo mamia ya watu wamehudhuria maziko ya nguli huyo wa muziki wa dansi aliyefariki dunia juzi Jumapili Aprili 13, 2014. 

 

9 years ago

Mwananchi

Mtikila azikwa Ludewa

Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa DP, Mchungaji Christopher Mtikila umezikwa jana katika Kijiji na Kata ya Milo, Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani