Dk. Kigoda azikwa
AMINA OMARI, HANDENI NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM
MWILI wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda, umezikwa katika Kata ya Chanika iliyopo Handeni mkoani Tanga.
Mazishi hayo yaliyofanyika jana yaliongozwa na Rais Jakaya Kikwete.
Akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya wabunge wakati wa mazishi hayo, Spika wa Bunge, Anne Makinda, alisema Serikali imepoteza mtu mchapakazi, muadilifu na mwenye fikra za maendeleo ya mageuzi ya uchumi wa nchi hii.
Alisema Dk. Kigoda...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Dk. Kigoda ahimiza uhamasishaji
MAFUNZO na Kampeni za uhamasishaji nchini Tanzania zitachangia katika kuongeza kasi ya kufanikisha azma ya kutekeleza mpango wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Kifedha. Kauli hiyo, imetolewa mwishoni mwa wiki...
11 years ago
Habarileo21 Jun
Kigoda ahimiza uendelezaji wa viwanda
WIZARA ya Viwanda na Biashara imesema azma ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kipato cha kati, haiwezi kukamilishwa, endapo nguvu hazitaelekezwa katika kuendeleza viwanda mama, vya kati na vidogo.
9 years ago
Mwananchi13 Oct
Mwili wa Dk Kigoda kuwasili kesho
11 years ago
Mwananchi29 May
Waziri Kigoda aishauri PPF
9 years ago
IPPmedia14 Oct
Kikwete mourns minister Kigoda.
IPPmedia
IPPmedia
President Jakaya Kikwete yesterday sent a message of condolences to the Prime Minister Mizengo Pinda on the death of the Minister for Industry and Trade, Dr Abdallah Omari Kigoda (62) and a Member of Parliament for Handeni Constituency who died on ...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
Kigoda Cup kuanza leo
MICHUANO ya soka na netiboli kuwania Kombe la Kigoda yanatarajiwa kuanza jioni ya leo kwenye Uwanja wa Azimio wilayani Handeni yakitanguliwa na hafla ya ufunguzi kuanzia majira ya saa 4...
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Dk Kigoda aiponda TCCIA Mbeya
11 years ago
Mwananchi11 Jun
Kigoda kufungua maonyesho Arusha
11 years ago
TheCitizen27 Jan
Dar, Pretoria can benefit more from each other: Kigoda