Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Senzo Meyiwa azikwa

Mazishi makubwa yafanywa Durban, Afrika Kusini, ya nahodha wa timu ya taifa, Senzo Meyiwa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBC

Senzo Meyiwa killing sparks South Africa

South Africa left reeling after shooting of Senzo Meyiwa

 

10 years ago

TheCitizen

Senzo Meyiwa’s girlfriend describes traumatic incident

>Kelly Khumalo, the girlfriend of slain Bafana Bafana captain Senzo Meyiwa, has described how her boyfriend collapsed on her after being shot by alleged burglars at her house in Vosloorus, reports the Sunday Times.

 

10 years ago

BBC

Twitter Q&A: Milton Nkosi answers questions on Senzo Meyiwa

Milton Nkosi answers questions on SA footballer star's killing

 

10 years ago

Bongo5

Nahodha na mlinda mlango wa Bafana Bafana Senzo Meyiwa auawa na majambazi

Nahodha wa timu ya soka ya Afrika Kusini ambaye pia alikuwa mlinda mlango, Senzo Meyiwa  ameuawa. Klabu yake Orlando Pirates imetangaza kuwa aliuawa kwa kupigwa risasi na jambazi nyumbani kwake maili 20 kusini mwa jiji la Johannesburg usiku wa jana. Meyiwa, 27,  aliuawa nyumbani kwake  Vosloorus. Ripoti ambazo bado hazijathibitishwa zinadai kuwa Meyiwa  alikuwa ndani […]

 

10 years ago

Bongo5

Utata watawala msiba wa nahodha wa Bafana Bafana, Senzo Meyiwa

Utata mkubwa umeukumba msiba wa aliyekuwa nahodha na mlinda mlango wa Bafana Bafana, Senzo Meyiwa aliyeuwa kwa kupigwa risasi nyumbani kwa mpenzi wake, Kelly Khumalo, Jumapili iliyopita. Marehemu Senzo Meyiwa akiwa na Kelly Khumalo Katika tukio hilo, watu hao walichukua simu peke yake na Meyiwa aliyekuwa pia akiidakia timu ya Orlando Pirates alifariki akipelekwa hospitali […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Msako mkali waanza mauaji ya Senzo Afrika Kusini

Football - Absa Premiership 2012/13 - Chippa United v Orlando Pirates - Athlone Stadium

Na Mwandishi wetu

Polisi nchini Afrika Kusini wameanzisha msako mkali dhidi ya mtu aliyempiga risasi na kumuua mlinda mlango na nahodha wa timu ya taifa hilo Senzo Meyiwa(pichani).

Ili kufanikisha uchunguzi huo ufanyike kwa urahisi na haraka, polisi wameahidi zawadi nono ya randi 250,000 sawa na dola za kimarekani 14,000 hadi $23,000 kwa yeyote atakayetoa taarifa na kufanikisha kukamatwa kwa mtu huyo.

Taarifa za jeshi la polisi zinasema kuwa watu wawili waliingia ndani na mmoja alibaki nje...

 

10 years ago

BBC

Meyiwa 'one of the best in Africa'

Built like a pocket rocket and 'one of Africa's best goalkeepers'

 

10 years ago

BBCSwahili

Wauaji wa Meyiwa kutambuliwa

Polisi nchini Africa Kusini wameonesha nyuso zinazo dhaniwa kuwa ni wauaji wa Senzo Meyiwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Muuaji wa Meyiwa ni Kitendawili

Polisi nchini Africa Kusini wameanzisha msako dhidi ya mtu aliyempiga risasi kipa na kapteni wa timu ya taifa hilo Senzo Meyiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani