KABURI LA KUAMBIANA LATOBOKA KIMAAJABU
![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k6vps1xRgmbf2C-PK7fVgkiRUNhNtbH*E31oFI9n39Pwq6sJ81T4V2AGL1V3ItQPluZTw-Zw0ueqVygvn2pLn0L/BACK.jpg?width=650)
SIKU chache baada ya kukutwa mauzauza katika kaburi la mwigizaji Rachel Haule ‘Recho’, kaburi la mwigizaji Adam Kuambiana (pichani)limekutwa limetoboka kimaajabu. Kaburi la aliyekuwa mwigizaji wa muvi Bongo, Adam Phillip Kuambiana. Gazeti la Risasi Jumamosi toleo la Julai 19, mwaka huu lilikuwa na babari yenye kichwa cha habari kisemacho: ‘Uchawi kaburini kwa Recho.’ Kwenye habari hiyo, ilielezwa kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xkVCMRT4uG-phqV3RMMROQDz7LYXXWfLkf6FWueW4CwMbOFFVrsNwlrd7XEOlqjT5NRPJChDLte73btAwiZIfYJE126zJX83/JB.jpg?width=650)
JB AFUNGUKIA KABURI LA KUAMBIANA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V0EnpUkUMSWoYBm3pBv4851YwZShzCotcjTaTAbCcnMMpH2C8zKiOf03yKtWSz2D-aB2ZQEZ8*wVYUfbW3kVub5NvU6ywxe8/kuambiana.gif)
KABURI LA KUAMBIANA LAZIDI KUBOMOKA
10 years ago
Bongo Movies16 Apr
JB Asema Haya Kuhusu Kaburi la Kuambiana
Kufuatia wadau mbalimbali kuhoji kwa nini staa wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ ameliacha kaburi la aliyekuwa mwongozaji wa filamu katika kampuni yake, marehemu Adam Kuambiana mwenyewe amefunguka kwamba hali ya kifedha ni ngumu kwa sasa.
Akiongea na gazeti la Amani, JB alisema anatamani kulikarabati kaburi la Kuambiana ambalo limetoboka na mpango huo upo kwenye ratiba yake ila kwa sasa hali ya kifedha ni ngumu ikiwa nzuri ataanza ujenzi wake mara moja.
“Unajua ni muda mrefu nilikuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ha*i6Zw5RmrFBqhsth7lvVKyXXkTX9Ih8CsLy-qOsctF55yQL9C6Im3JCd*-YvI5dHHrl6Q6wdDUh8BETIO7bjKAxx9rkD4w/maiti.jpg?width=650)
MAITI AZIKWA KIMAAJABU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
ADAM KUAMBIANA AZIKWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vuUh0rgUyT4JcAqmnM2sO00p5pCpLeCOivHGXerm8P4jwXyuqjjRwalnzDkMIbxJ6KVUf457a*oVFT0VieH0J64jg5nCBcSY/adam.jpg)
MCHUMBA WA KUAMBIANA AIBUKA!
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qeusznqd6YmKwyVodFwtfArPFQKa*Zn99NY4MHn5V-82XnCG4bS8ahY7zenH2F2BSDniHhX95Wztm*L6y77wlRs6ut9pDXkt/JB.jpg?width=650)
JB AWAZUNGUMZIA KANUMBA, KUAMBIANA
11 years ago
MichuziBURIANI ADAM KUAMBIANA
Adam Kuambiana enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya leo.
Habari zinasema Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remmy, Dar es salaam . Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo. Globu ya Jamii inaungana na familia ya marehemu, ndugu,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*x4RtjZ2BFWj6E38HeRYK2ox-XSH*JcVbhV5ixt*ctYo*xSuc4e9TqqYmeOJNSrIrQQnrzO1*-JgqXvSlN51KxGzY*8oVZqj/daktari.jpg?width=650)
DAKTARI: KUAMBIANA AMEJIUA