KABURI LA KUAMBIANA LAZIDI KUBOMOKA
![](http://api.ning.com:80/files/V0EnpUkUMSWoYBm3pBv4851YwZShzCotcjTaTAbCcnMMpH2C8zKiOf03yKtWSz2D-aB2ZQEZ8*wVYUfbW3kVub5NvU6ywxe8/kuambiana.gif)
Stori: Waandishi Wetu INASIKITISHA! Tofauti na makaburi mengine ya wasanii mbalimbali wa filamu yaliyopo Kinondoni jijini Dar, la marehemu Adam Kuambiana limeendelea kubomoka na kuwa na mashimo huku likionekana kutelekezwa. Kaburi la marehemu Adam Phillip Kuambiana. Gazeti hili lilitembelea makaburini hapo na kushuhudia kaburi hilo likiwa na mashimo mengi pembeni tofauti na yale yaliyowahi kuripotiwa awali na magazeti Pendwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xkVCMRT4uG-phqV3RMMROQDz7LYXXWfLkf6FWueW4CwMbOFFVrsNwlrd7XEOlqjT5NRPJChDLte73btAwiZIfYJE126zJX83/JB.jpg?width=650)
JB AFUNGUKIA KABURI LA KUAMBIANA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k6vps1xRgmbf2C-PK7fVgkiRUNhNtbH*E31oFI9n39Pwq6sJ81T4V2AGL1V3ItQPluZTw-Zw0ueqVygvn2pLn0L/BACK.jpg?width=650)
KABURI LA KUAMBIANA LATOBOKA KIMAAJABU
10 years ago
Bongo Movies16 Apr
JB Asema Haya Kuhusu Kaburi la Kuambiana
Kufuatia wadau mbalimbali kuhoji kwa nini staa wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ ameliacha kaburi la aliyekuwa mwongozaji wa filamu katika kampuni yake, marehemu Adam Kuambiana mwenyewe amefunguka kwamba hali ya kifedha ni ngumu kwa sasa.
Akiongea na gazeti la Amani, JB alisema anatamani kulikarabati kaburi la Kuambiana ambalo limetoboka na mpango huo upo kwenye ratiba yake ila kwa sasa hali ya kifedha ni ngumu ikiwa nzuri ataanza ujenzi wake mara moja.
“Unajua ni muda mrefu nilikuwa...
11 years ago
Mwananchi05 Apr
Deni la taifa lazidi kupaa
9 years ago
Mwananchi03 Jan
Wingu lazidi kutanda Z’bar
9 years ago
BBCSwahili25 Aug
Soko la hisa la Asia lazidi kuporomoka
11 years ago
Mwananchi19 May
Sakata IPTL lazidi kuwavuruga wabunge
11 years ago
Mwananchi04 May
Tatizo la maji Dar lazidi kukua
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-wciGVMOJjGs/VCft5cc71TI/AAAAAAAGmSc/govVTUFu5Yc/s72-c/web-banner-2014.jpg)
ONESHO LA SITE LAZIDI KUVUTIA WADHAMINI
Taasisi na makampuni kadhaa yameendelea kujitokea kudhamini onesho la kimataifa la utalii la Swahili ‘Swahili International Tourism Expo’ (SITE) linaloandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) na ambalo linatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City kuanzia Oktoba 1 – 4, 2014.
![](http://2.bp.blogspot.com/-wciGVMOJjGs/VCft5cc71TI/AAAAAAAGmSc/govVTUFu5Yc/s1600/web-banner-2014.jpg)
Aidha Bodi ya Utalii Tanzania imesema milango bado ipo wazi kwa makampuni na taasisi mbalimbali za serikali na binafsi kuwaunga mkono kwa kujitokeza kudhamini onesho...