ONESHO LA SITE LAZIDI KUVUTIA WADHAMINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-wciGVMOJjGs/VCft5cc71TI/AAAAAAAGmSc/govVTUFu5Yc/s72-c/web-banner-2014.jpg)
Na: Geofrey Tengeneza
Taasisi na makampuni kadhaa yameendelea kujitokea kudhamini onesho la kimataifa la utalii la Swahili ‘Swahili International Tourism Expo’ (SITE) linaloandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) na ambalo linatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City kuanzia Oktoba 1 – 4, 2014.
Aidha Bodi ya Utalii Tanzania imesema milango bado ipo wazi kwa makampuni na taasisi mbalimbali za serikali na binafsi kuwaunga mkono kwa kujitokeza kudhamini onesho...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-zeHzHlZO4c4/VCqGroZZ1GI/AAAAAAAGmsc/EjPXATj1MnQ/s72-c/unnamed.jpg)
ONESHO LA SITE KUFUNGULIWA KESHO JUMATANO MLIMANI CITY,JIJINI DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-zeHzHlZO4c4/VCqGroZZ1GI/AAAAAAAGmsc/EjPXATj1MnQ/s1600/unnamed.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-7tGobqDGUtA/VCqIQ1pRQjI/AAAAAAAGmsk/vrbUFzC18Is/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-tWRkoMq_0Go/VCqGoVynvPI/AAAAAAAGmsU/L62MPY15gto/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB),Devota Mdachi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu onyesho hilo la kimataifa la utalii ‘Swahili...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V0EnpUkUMSWoYBm3pBv4851YwZShzCotcjTaTAbCcnMMpH2C8zKiOf03yKtWSz2D-aB2ZQEZ8*wVYUfbW3kVub5NvU6ywxe8/kuambiana.gif)
KABURI LA KUAMBIANA LAZIDI KUBOMOKA
9 years ago
Mwananchi03 Jan
Wingu lazidi kutanda Z’bar
11 years ago
Mwananchi05 Apr
Deni la taifa lazidi kupaa
11 years ago
Mwananchi14 Apr
‘Spray’ za waamuzi zatarajiwa kuvutia
11 years ago
Mwananchi19 May
Sakata IPTL lazidi kuwavuruga wabunge
11 years ago
BBCSwahili31 Mar
Ongezeko la joto lazidi kuwa tishio
11 years ago
Mwananchi04 May
Tatizo la maji Dar lazidi kukua
10 years ago
BBCSwahili09 Jun
Tamasha la J LO lazidi kuzua zogo Rabat