Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAKTARI: KUAMBIANA AMEJIUA

WAANDISHI WETU
IMEVUJA! Siku chache baada ya kifo cha mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Philip Kuambiana, daktari mkubwa wa mastaa ameibuka na kudai marehemu alijiua mwenyewe. Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu Adam Kuambiana.
Kwa mujibu wa daktari huyo ambaye hakupenda jina lake lichorwe gazetini kutokana na maadili ya taaluma yao kuficha siri ya mgonjwa, siku moja kabla ya kifo (Ijumaa ya Mei 16, mwaka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Kuambiana Amliza Niva

Zuberi Mohamed ‘Niva’ amesema filamu ya ‘Kipaji Changu’ aliyoigiza na marehemu Adam Kuambiana (Pichani),humtoa machozi kila anapoitazama.

“Kipaji Changu” imetoka  wiki iliyopita lakini filamu hiyo ilichezwa muda mfdupi  kabla ya kufariki kwa Kuambiana Mei Mwaka jana.

Akizungumza swala hilo, Niva alisema “Filamu hii imenipa mawazo ambayo nahisi kama bado kuambiana yupo.”

Chanzo: Nipashe

 

9 years ago

GPL

JB AWAZUNGUMZIA KANUMBA, KUAMBIANA

NI maisha ya nguli wa filamu Bongo, Jacob Stephen Mbura ‘JB’. Anasimulia kila kitu alichopitia maishani mwake tangu kuzaliwa hadi sasa alipo. Hakika ni simulizi ambayo imejaa kila aina ya mafunzo kuhusu maisha na changamoto zake.  Kikubwa katika simulizi hii, ni kuwatia moyo watu wenye ndoto kama zake au nyingine, kutokata tamaa pindi wanapokumbana na matatizo wakati wa kufuatilia ndoto zao. Kujaribu kupandikiza...

 

11 years ago

Michuzi

BURIANI ADAM KUAMBIANA





Adam Kuambiana enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya leo. 
Habari zinasema Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remmy, Dar es salaam . Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo. Globu ya Jamii inaungana na familia ya marehemu, ndugu,...

 

10 years ago

GPL

JB AFUNGUKIA KABURI LA KUAMBIANA

Staa wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’. GLADNESS MALLYA BAADA ya wadau mbalimbali kuhoji kwa nini staa wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ ameliacha kaburi la aliyekuwa mwongozaji wa filamu katika kampuni yake, marehemu Adam Kuambiana mwenyewe amefunguka kwamba hali ya kifedha ni ngumu kwa sasa. Akipiga stori na Centre Spread, JB alisema anatamani kulikarabati kaburi la Kuambiana ambalo limetoboka na...

 

11 years ago

GPL

ADAM KUAMBIANA AZIKWA

Mazishi ya mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Kuambiana yamefanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar. Kabla ya mazishi mwili wa marehemu uliagwa na maelfu katika Viwanja vya Leaders jijini Dar. Mungu ailaze roho ya marehemu, mahali pema peponi.…

 

11 years ago

GPL

MCHUMBA WA KUAMBIANA AIBUKA!

Stori: Hamida Hassan na Musa Mateja
MAMBO yameanza! Siku mbili tu baada ya mazishi ya mwigizaji na mwongoza filamu mahiri Bongo, marehemu Adam Kuambiana, mrembo mmoja ameibuka na kusema alikuwa mchumba wa marehemu, Ijumaa linakujuza. Mrembo anayejulikana kwa jina la Lulu Jumanne ‘Selina’. Kwa mujibu wa mrembo huyo, Lulu Jumanne ‘Selina’, alifahamiana na marehemu Kuambiana mwaka 2006 akamwambia ndoa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadau wa filamu walivyomlilia Kuambiana

WIKI hii ilikuwa siku ya huzuni kwa tasnia ya filamu baada ya msanii Adam Philip Kuambiana kufariki, kifo kilichotokana na maradhi ya vidonda vya tumbo. Umauti ulimkuta Kuambiana usiku wa...

 

11 years ago

GPL

ADAM KUAMBIANA AFARIKI DUNIA

Adam Kuambiana enzi za uhai wake. MWIGIZAJI Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu. Marehemu ameanguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar. Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbO. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Kuambiana afariki akiwa kazini

Mwigizaji, mwandishi na mwongozaji wa filamu, Adamu Kuambiana amefariki dunia jana asubuhi jijini Dar es Saalam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani