Maiti yapigwa makofi
MAZIKO ya mtuhumiwa wa mauaji ya watu tisa na unyang'anyi wilayani hapa, Charles Kichune, yamesuswa na ndugu zake. Tangu Kichune afariki dunia Februari 9 kwa ugonjwa wa pumu katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime, hakuna ndugu aliyefika kuchukua mwili huo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima13 Sep
Kesi ya kugombea maiti yapigwa kalenda
MKE wa pili wa marehemu ,Stephen Assei (52) ,Fortunata Lyimo ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, kumpatia siku 14 kwa ajili ya kutafuta wakili atakayemsaidia katika kesi ya kugombea maiti....
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Mwalimu apigwa makofi na mtawa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OaLCeaCg49iZby-ZZHR90MJi8cdRAVeqO0GCxd-wVWZcCXmbs8xSbZ*YfEn-gsQgVw9p81*4JHSun3fqS8cFsa5uVtgFdQ7f/mpekez.jpg)
EMSII WA MSIBA HAPIGIWI MAKOFI!
11 years ago
Habarileo06 Mar
Kizimbani kwa kumpiga mkewe ngumi, makofi
MKAZI wa mtaa wa Ohio, George Kanyama (68) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, kujibu mashitaka ya kumshambulia mke wake kwa kumpiga.
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Jaji Manento: Wafungwa walinishangilia kwa makofi
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Wanawake walivyoambulia makofi ya waume zao kwa kusaka maji
9 years ago
Global Publishers27 Dec
Arsenal yapigwa 4-0 na Southampton
Kiungo wa Southampton Steven Davis (kulia)akiwania mpira na kiungo mkabaji wa Arsenal Mathieu Flamini kwenye mtanange huo.Cuco wa Southampton akishangilia goli la kwanza dhidi ya Arsenal.
Wachezaji wa Arseal wakiwa hawaamini kinachoendelea.
Mshambuliaji wa Southampton Shane Long akipachika kimiani goli la pili.
….Akishangilia
Theo Walcott(kushoto) akikabiliana na mchezaji wa Southampton
9 years ago
BBCSwahili17 Sep
9 years ago
Mtanzania24 Oct
Mita 200 yapigwa marufuku
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetamka bayana kwamba hairuhusiwi watu kukutana mahali popote bila kujali umbali wake siku ya uchaguzi kesho.
Uamuzi huo ulitolewa na jopo la majaji watatu waliokuwa wakisikiliza mvutano wa kisheria kuhusu kukaa mita 200 kutoka kituo cha kupigia kura.
Mwenyekiti wa jopo hilo, Sekieti Kihiyo na Jaji Lugano Mwandambo kwa nyakati tofauti walipokuwa wakisoma uamuzi huo, walisema wamezingatia hoja zilizowasilishwa na pande mbili...