Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwalimu apigwa makofi na mtawa

Mwalimu mmoja wa somo la kiingereza amepigwa makofi na mtawa baada ya kutoa kiti chake katika treni kwa wanawake wawili.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Maiti yapigwa makofi

MAZIKO ya mtuhumiwa wa mauaji ya watu tisa na unyang'anyi wilayani hapa, Charles Kichune, yamesuswa na ndugu zake. Tangu Kichune afariki dunia Februari 9 kwa ugonjwa wa pumu katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime, hakuna ndugu aliyefika kuchukua mwili huo.

 

10 years ago

GPL

EMSII WA MSIBA HAPIGIWI MAKOFI!

Niaje…niaje wanangu hapo kwa fasi ya kitaa? Ama nini? Kama mpo biyee basi mzuka machalii wangu.
Tudei bana ngoja tugonge stori za kitaani kwangu. Aisee pale kitaani kuna drama hatari. Weka mbali na majanki! Ni hapa tu kwa fasi ya Sinza, Bongo tambarare wanangu kama vipi mnaweza kujisogeza kitaa hiki tuone inakuwa nini!Mzazi nikisema nikupe ishu moko afta nyingine ni parefu hata gazeti lote halitoshi bati ngoja nikumegee...

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Manento: Wafungwa walinishangilia kwa makofi

Kwa muda mrefu wanaharakati wamekuwa wakiunyooshea kidole muhimili wa mahakama kwa kutumia muda mrefu kuendesha kesi na kusababisha mrundikano wa mahabusu na wafungwa magerezani.

 

11 years ago

Habarileo

Kizimbani kwa kumpiga mkewe ngumi, makofi

MKAZI wa mtaa wa Ohio, George Kanyama (68) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, kujibu mashitaka ya kumshambulia mke wake kwa kumpiga.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanawake walivyoambulia makofi ya waume zao kwa kusaka maji

Ustawi wa jamii yoyote, hata maendeleo hutegemea upatikajanaji wa maji safi na salama ambayo ni kichocheo muhimu kinachowapa fursa wananchi kushiriki kikamilifu kwenye shughuli za kukuza uchumi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtawa amtusi mjumbe wa UN

Kiongozi huyo wa kibudha Ashin Wirathu alimtusi mjumbe wa Umoja wa Mataifa aliyekuwa anazuru Myanmar kwa kumuita ''Kahaba'' na ''Mbwa''

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtawa mwimbaji atoa kibao

Mwimbaji mtawa aliyeshinda tuzo la The voice la Italia atoa wimbo mpya unaofanana na ule wa mwimbaji mtajika wa Madonna kwa jina 'Like a Virgin'.

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliyebaka mtawa India akamatwa

Polisi nchini India wamemtia mbaroni mtu aliyedaiwa kubaka mtawa mmoja wa Kanisa Katoliki Magharibi mwa Bengal.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtawa aagwa, dereva asimulia

>Mark Mwarabu, dereva aliyekuwa akimwendesha sista wa Kanisa Katoliki, Crecensia  Kapuri aliyeuawa na majambazi wa Kanisa Katoliki, amesema mbinu za kijeshi zilimwokoa katika tukio hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani