Aliyebaka mtawa India akamatwa
Polisi nchini India wamemtia mbaroni mtu aliyedaiwa kubaka mtawa mmoja wa Kanisa Katoliki Magharibi mwa Bengal.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili20 Dec
Aliyebaka na kuua achiwa huru nchini India
Mfungwa mchanga zaidi katika genge la wabakaji waliopatikana na hatia ya kubaka na kuua mwanamke mmoja mwaka wa 2012 ameachiliwa huru.
11 years ago
BBCSwahili14 Mar
3 hatiani kwa kumbaka mtawa India
Mahakama nchini India imewapata na hatia watu 3 waliombaka mtawa wa kikatoliki wakati wa ghasia za kupinga dini ya kikristo mwaka 2008
9 years ago
Mwananchi18 Aug
Mtanzania akamatwa na kilo 74 za ‘unga’ India
Maofisa uhamiaji wa Uwanja wa Ndege wa Mumbai, India wamemkamata Mtanzania, Fatma Chambo Basil akiwa na kilo 74 za dawa za kulevya aina ya methaqualone alizokuwa akizisafirisha kuleta nchini.
10 years ago
BBCSwahili22 Jan
Mtawa amtusi mjumbe wa UN
Kiongozi huyo wa kibudha Ashin Wirathu alimtusi mjumbe wa Umoja wa Mataifa aliyekuwa anazuru Myanmar kwa kumuita ''Kahaba'' na ''Mbwa''
10 years ago
BBCSwahili22 Oct
Mtawa mwimbaji atoa kibao
Mwimbaji mtawa aliyeshinda tuzo la The voice la Italia atoa wimbo mpya unaofanana na ule wa mwimbaji mtajika wa Madonna kwa jina 'Like a Virgin'.
11 years ago
Mwananchi27 Jun
Mtawa aagwa, dereva asimulia
>Mark Mwarabu, dereva aliyekuwa akimwendesha sista wa Kanisa Katoliki, Crecensia Kapuri aliyeuawa na majambazi wa Kanisa Katoliki, amesema mbinu za kijeshi zilimwokoa katika tukio hilo.
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Mwalimu apigwa makofi na mtawa
Mwalimu mmoja wa somo la kiingereza amepigwa makofi na mtawa baada ya kutoa kiti chake katika treni kwa wanawake wawili.
11 years ago
BBCSwahili06 Jun
Mtawa anyakua ushindi wa uimbaji -Italia
Mtawa mmoja kutoka Italia ambaye alipata umaarufu katika mtandao wa kijamii ameshinda shindano la kuimba nchini humo.
11 years ago
Mwananchi09 Jul
KESI: Watuhumiwa wa mauaji ya Mtawa kizimbani
>Watuhumiwa wa mauaji ya Mtawa Cresencia Kapuri (50) wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Parokia ya Makoka, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakihusishwa na wizi wa pesa katika Benki ya Barclays.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania