EMSII WA MSIBA HAPIGIWI MAKOFI!
![](http://api.ning.com:80/files/OaLCeaCg49iZby-ZZHR90MJi8cdRAVeqO0GCxd-wVWZcCXmbs8xSbZ*YfEn-gsQgVw9p81*4JHSun3fqS8cFsa5uVtgFdQ7f/mpekez.jpg)
Niaje…niaje wanangu hapo kwa fasi ya kitaa? Ama nini? Kama mpo biyee basi mzuka machalii wangu. Tudei bana ngoja tugonge stori za kitaani kwangu. Aisee pale kitaani kuna drama hatari. Weka mbali na majanki! Ni hapa tu kwa fasi ya Sinza, Bongo tambarare wanangu kama vipi mnaweza kujisogeza kitaa hiki tuone inakuwa nini!Mzazi nikisema nikupe ishu moko afta nyingine ni parefu hata gazeti lote halitoshi bati ngoja nikumegee...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo14 Feb
Maiti yapigwa makofi
MAZIKO ya mtuhumiwa wa mauaji ya watu tisa na unyang'anyi wilayani hapa, Charles Kichune, yamesuswa na ndugu zake. Tangu Kichune afariki dunia Februari 9 kwa ugonjwa wa pumu katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime, hakuna ndugu aliyefika kuchukua mwili huo.
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Mwalimu apigwa makofi na mtawa
11 years ago
Habarileo06 Mar
Kizimbani kwa kumpiga mkewe ngumi, makofi
MKAZI wa mtaa wa Ohio, George Kanyama (68) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, kujibu mashitaka ya kumshambulia mke wake kwa kumpiga.
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Jaji Manento: Wafungwa walinishangilia kwa makofi
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Wanawake walivyoambulia makofi ya waume zao kwa kusaka maji
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-NefYiu42lUw/VYcyC2AKTkI/AAAAAAAHiPU/LpOGIUxkdUU/s72-c/unnamed%2B%252848%2529.jpg)
MEMBE AHUDHURIA MSIBA WA MTOTO WA JENERALI MSUGURI NA KUHANI MSIBA WA JOHN NYERERE BUTIAMA MKOANI MARA
![](http://3.bp.blogspot.com/-NefYiu42lUw/VYcyC2AKTkI/AAAAAAAHiPU/LpOGIUxkdUU/s640/unnamed%2B%252848%2529.jpg)