Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majadiliano Rasimu ya Katiba yaboreshe mfumo wa elimu

MAJADILIANO ya Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ni fursa ya kihistoria inayopaswa kutumiwa ipasavyo ili kuboresha mfumo wa maisha unaowagusa Watanzania. Mbali na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Azaki kusambaza elimu ya rasimu ya Katiba

MUUNGANO wa Asasi za Kiraia nchini (AZAKI) umezindua kampeni ya kitaifa ya kusambaza uelewa wa rasimu ya pili ya Katiba kwa wananchi. Muungano huo umewataka wabunge wa Bunge la Katiba, kutokiuka maoni yaliyotolewa na wananchi.

 

10 years ago

Michuzi

NYALANDU AFUNGUA MKUTANO WA SIKU MBILI WA MAJADILIANO KUHUSU UBORESHAJI WA MFUMO WA USIMAMIZI NA UENDESHAJI MAENEO YA JUMUIA YA HIFADHI YA WANYAMAPORI TANZANIA

 WAZIRI waMaliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya wadau wa masuala ya uhifadhi na utalii alipowasili kufungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana Julai 2, 2015, katika hotel ya Naura Spring, jijini Arusha. WAZIRI waMaliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana mdau wa masuala ya uhifadhi na utalii Willy Chambulo, alipowasili kufungua mkutano wa...

 

10 years ago

Habarileo

Majadiliano Bunge la Katiba yafungwa

KESHOKUTWA Alhamisi ndiyo siku ambayo rasimu ya mwisho inayopendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba (BMK), itatolewa hadharani mbele ya Bunge hilo na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge.

 

5 years ago

Michuzi

Haki Elimu Yatoa Tathmini ya Mfumo wa Elimu Baada ya Covid 19

 Na Humphrey Shao, Dar es Salaam
Tasisi isiyo ya Kiserikali ya Haki
Elimu Tanzania imesema katika kipindi hiki cha shule kufungwa nje ya utaratibu
rasmi wa likizo kimetufanya tugundue namna mfumo wetu wa utoaji elimu ulivyo na
mapungufu mengi.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Shirika
Hilo Dk.John Kalaghe alipokuwa akizungumza na wadau wa elimu kupitia mkutano
uliandaliwa na tasisi hiyo uliofanyika kwa njia ya mtandao wakati wa
mahadhimishoi ya siku ya mtoto wa Afrika.
Dk Kalaghe alisema kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Elimu ya ujasiriamali katika mfumo wa elimu nchini

Uzoefu na tafiti vinaonyesha vijana wanaohitimu katika ngazi mbalimbali za elimu nchini wanakabiliwa na changamoto ya kupata ajira.

 

10 years ago

Michuzi

Bunge Maalum la Katiba laanza mijadala ya Rasimu ya Katiba rasmi leo

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 9 Septemba, 2014 limeanza kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali zikiwemo Kamati namba Kumi na Mbili, Kamati namba Mbili, Kamati namba Moja, Kamati namba Nne, Kamati namba Nane, Kamati namba Tano, Kamati namba Tisa, Kamati namba Tatu, Kamati namba Sita pamoja na Kamati namba Kumi na Moja.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja suala la baadhi ya viongozi kumiliki akaunti zao za fedha...

 

10 years ago

Mwananchi

Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa

Natambua kwamba bado tuna joto la sakata la “escrow” ambalo hata baada ya Mkuu wa Nchi Rais Jakaya Kikwete kulifafanua na hata kama hujui kusoma upepo kiasi gani utakuwa umegundua na utaungana nami kwamba bado wananchi wamegawika kabisa.

 

10 years ago

GPL

MH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta (kushoto) Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo. Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa Bungeni siku ya kesho. Makabidhiano yakiendelea.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani