Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azaki kusambaza elimu ya rasimu ya Katiba

MUUNGANO wa Asasi za Kiraia nchini (AZAKI) umezindua kampeni ya kitaifa ya kusambaza uelewa wa rasimu ya pili ya Katiba kwa wananchi. Muungano huo umewataka wabunge wa Bunge la Katiba, kutokiuka maoni yaliyotolewa na wananchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA TAIFA YA KUSAMBAZA UELEWA WA RASIMU YA PILI YA KATIBA YA TANZANIA



 Jaji Mkuu Mstaafu Mh. Thomas Mihayo akitoa ufafanuzi wa uzinduzi wa Rasimu ya pili ya Katiba…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Majadiliano Rasimu ya Katiba yaboreshe mfumo wa elimu

MAJADILIANO ya Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ni fursa ya kihistoria inayopaswa kutumiwa ipasavyo ili kuboresha mfumo wa maisha unaowagusa Watanzania. Mbali na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Azaki yapata wawakilishi wa Bunge la Katiba

WILAYA ya Mvomero imempata mmoja wa wagombea wa uwakilishi wa Bunge Maalumu la Katiba, ambapo jina hilo litapelekwa kwa Rais Jakaya Kikwete kwa ajili ya uteuzi wa wabunge 20 wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Azaki wachagua wawakilishi 40 Bunge Maalumu la Katiba

Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), limechagua wawakilishi 40 kutoka mitandao ya asasi za kiraia nchini (Azaki), ambao majina yao yatapelekwa kwa Rais Jakaya Kikwete kwa ajili ya uteuzi wa wabunge 20 wa Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Michuzi

Umoja wa Azaki za Vijana wakutana na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba.

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongea na Umoja Azaki za Vijana wakati alipofanya mkutano nao wakati wakiwasilisha mapendekezo ya maboresho ikiwa ni msisitizo katika masuala yao ya vijana, mkutano uliofanyika 02 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.Kiongozi wa msafara wa Umoja wa Umoja wa Azaki za Vijana Alfred Kiwuyo akisoma taarifa ya mapendekezo ya maboresho ikiwa ni msisitizo katika masuala yao ya vijana, mkutano uliofanyika 02 Septemba, 2014...

 

10 years ago

Michuzi

Bunge Maalum la Katiba laanza mijadala ya Rasimu ya Katiba rasmi leo

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 9 Septemba, 2014 limeanza kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali zikiwemo Kamati namba Kumi na Mbili, Kamati namba Mbili, Kamati namba Moja, Kamati namba Nne, Kamati namba Nane, Kamati namba Tano, Kamati namba Tisa, Kamati namba Tatu, Kamati namba Sita pamoja na Kamati namba Kumi na Moja.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja suala la baadhi ya viongozi kumiliki akaunti zao za fedha...

 

10 years ago

Mwananchi

Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa

Natambua kwamba bado tuna joto la sakata la “escrow” ambalo hata baada ya Mkuu wa Nchi Rais Jakaya Kikwete kulifafanua na hata kama hujui kusoma upepo kiasi gani utakuwa umegundua na utaungana nami kwamba bado wananchi wamegawika kabisa.

 

10 years ago

GPL

MH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta (kushoto) Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo. Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa Bungeni siku ya kesho. Makabidhiano yakiendelea.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani