Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azaki wachagua wawakilishi 40 Bunge Maalumu la Katiba

Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), limechagua wawakilishi 40 kutoka mitandao ya asasi za kiraia nchini (Azaki), ambao majina yao yatapelekwa kwa Rais Jakaya Kikwete kwa ajili ya uteuzi wa wabunge 20 wa Bunge Maalumu la Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Azaki yapata wawakilishi wa Bunge la Katiba

WILAYA ya Mvomero imempata mmoja wa wagombea wa uwakilishi wa Bunge Maalumu la Katiba, ambapo jina hilo litapelekwa kwa Rais Jakaya Kikwete kwa ajili ya uteuzi wa wabunge 20 wa...

 

11 years ago

Michuzi

Umoja wa Azaki za Vijana wakutana na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba.

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongea na Umoja Azaki za Vijana wakati alipofanya mkutano nao wakati wakiwasilisha mapendekezo ya maboresho ikiwa ni msisitizo katika masuala yao ya vijana, mkutano uliofanyika 02 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.Kiongozi wa msafara wa Umoja wa Umoja wa Azaki za Vijana Alfred Kiwuyo akisoma taarifa ya mapendekezo ya maboresho ikiwa ni msisitizo katika masuala yao ya vijana, mkutano uliofanyika 02 Septemba, 2014...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafugaji wateua wawakilishi Bunge la Katiba

VYAMA vya wafugaji wa asili Tanzania pamoja na mashirika na mitandao ya wafugaji vipatavyo 31, wamekutana juzi katika mkutano mkuu maalumu kuchagua wawakilishi wao wanaowapendekeza kuingia katika Bunge maalumu la...

 

11 years ago

Michuzi

wasanii wavamia bunge maalumu la katiba kudai haki zao zitambulike katka katiba mpaya dodoma


Wsanii 12 wakiwemo viongozi toka Shirikisho la muziki, Shirikisho la Filamu, Shirikisho la Sanaa za ufundi, Mtandao wa Wanamuziki Tanzania walifunga safari na kuvamia Dododma na kuwa na mfululizo wa mikutano na wabunge mbalimbali ili kuwashawishi waunge mkono vipengele viwili ambavyo wasanii wanavitaka katika Katiba  1. Kundi la wasanii kutambuliwa katika Katiba kama vile walivyotambuliwa Wakulima, wafugaji, wavuvi na wafugaji walivyotajwa  2. Milliki Bunifu kwa kiingereza Intellectual...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge Maalumu la Katiba kusambaratika?

RAIS wangu wahenga walisema, “Kinachowezekana leo kisingoje kesho”. Inaaminika kuwa akili zetu za leo hazijawahi kuwa kubwa kufikia ukubwa wa akili walizokuwanazo wahenga wetu. Ndiyo maana mpaka leo tunafikiri huku...

 

11 years ago

Mwananchi

Mgogoro Bunge Maalumu la Katiba

>Wakati Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa kukutana tena na viongozi wa vyama vya siasa ambavyo ni wanachama wa Kituo cha Demokrasia nchini (TCD), kuna taarifa kwamba huenda Oktoba 4, mwaka huu ikawa siku ya mwisho ya kukutana kwa Bunge Maalumu, linaloendelea na utunzi wa Katiba Mpya mjini Dodoma.

 

11 years ago

Mwananchi

Siku 60 zaidi Bunge Maalumu la Katiba

Bunge Maalumu la Katiba limeomba kuongezewa muda wa siku 60 kuanzia Agosti 5, mwaka huu litakapokutana kwa ngwe ya pili, Mwananchi limebaini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani