Wafugaji wateua wawakilishi Bunge la Katiba
VYAMA vya wafugaji wa asili Tanzania pamoja na mashirika na mitandao ya wafugaji vipatavyo 31, wamekutana juzi katika mkutano mkuu maalumu kuchagua wawakilishi wao wanaowapendekeza kuingia katika Bunge maalumu la...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
Azaki yapata wawakilishi wa Bunge la Katiba
WILAYA ya Mvomero imempata mmoja wa wagombea wa uwakilishi wa Bunge Maalumu la Katiba, ambapo jina hilo litapelekwa kwa Rais Jakaya Kikwete kwa ajili ya uteuzi wa wabunge 20 wa...
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Azaki wachagua wawakilishi 40 Bunge Maalumu la Katiba
11 years ago
Michuzi13 Feb
11 years ago
Habarileo26 Dec
Wafugaji waomba Mchakato Bunge la Katiba usiharibiwe
VYAMA vya Wafugaji wa Asili vimemuomba Rais Jakaya Kikwete kuangalia kwa makini baadhi ya watu wanaotaka kuharibu mchakato wa mapendekezo ya wawakilishi kwenye Bunge Maalumu la Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
11 years ago
Habarileo21 May
Wawakilishi wazuiwa kujadili Katiba
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho amepiga marufuku mijadala ya Bunge la Katiba, kuzungumzwa katika vikao vya Baraza la Wawakilishi.
10 years ago
Habarileo22 May
Migogoro ya wakulima, wafugaji yatawala Bunge
SAKATA la migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji nchini, limetawala mjadala wa hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2015/16 ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, iliyowasilishwa bungeni juzi.
11 years ago
Tanzania Daima22 Mar
Wafugaji wahofu Katiba kutowatambua
KUNDI la wafugaji nchini wameeleza hofu ya maisha yao kutokana na rasimu ya pili ya Katiba kutokuwa na vipengele vinavyotambua uhalali wao wa kuishi na shughuli wanazofanya. Akizungumza na Tanzania...