Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majaliwa akutana na Katibu Mtendaji wa SADC

IMGS5568

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu Mtendaji wa  SADC, Dkt. Stergomena Tax, ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 16, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS5570

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Sirro (kushoto) akizungumza na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) DR. Stergomena Tax, aliyemtembelea ofisini kwake Makao Makuu Ndogo ya Jeshi hilo Jijini Dar es salaam leo na kujadiliana masuala mbalimbali ya kiutendaji.Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Sirro (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) DR. Stergomena Tax, aliyemtembelea ofisini kwake Makao Makuu...

 

11 years ago

Michuzi

Katibu Mtendaji Mkuu wa SADC afanya ziara nchini Zimbambwe

Katibu Mtendaji Mkuu wa SADC,Dr. Stergomena L. Tax amekutana na Mhe. Robert Mugabe, Rais wa Jamhuri ya Zimbambwe wakati akiwa katika Ziara ya kikazi nchini Zimbabwe. Pamoja na masuala mengine wamezungumzia umuhimu wa kuendeleza kwa kasi ushirikiano na mtangamano wa kiuchumi katika Jumuiya ya Maendeleo Kusuni mwa Afrika (SADC) ili kupunguza na hatimaye kuondokana na utegemezi. Walisisitiza umuhimu wa kukamilisha Ukanda Huru wa Biashara na kuanzisha Umoja wa Forodha wa SADC, na pia...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC,DKT.TAX IKULU,ZANZIBAR





RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mtendaji wa SADC  Dkt. Stergomena Lawrence Tax, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar alipofika kuonana na kufanya mazungumzo leo 21-2-2020.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali...

 

9 years ago

Michuzi

Katibu mtendaji BAKITA amkabidhi kamusi kuu mpya ya kiswahili katibu mkuu wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo

Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel(kulia) akikabidhiwa kamusi kuu mpya ya Kiswahili kutoka kwa Katibu Mtendaji kutoka baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Dkt Selemani Sewangi.Kamusi hiyo mpya ina jumla ya maneno makuu Zaidi ya elfu thelathini na sita(36000) na kurasa 1264. Katibu Mtendaji kutoka baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Dkt Selemani Sewangi(kushoto) akitoa ufafanuzi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na...

 

5 years ago

Michuzi

TUTAISAIDIA BURUNDI KUWA MWANACHAMA WA SADC-MAJALIWA


Rais wa Burundi , Evariste Ndayishimiye akizungumza na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete kwenye Ikulu ya Gitega nchini Burundi baada ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Burundi, Marehemu Pierre Nkurunziza Juni, 26,2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete wakizungumza na Makamu wa Rais wa Burundi, Prosper Bazombaza wakati walipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bujumbura na baadae walisafiri...

 

5 years ago

Michuzi

Majaliwa Kufungua Mkutano wa Mawaziri SADC kwa Njia ya Video


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Kanali Wilbert Ibuge akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Mabadiliko ya mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC utakao fanyika kwa njia ya Mfumo wa Video kufuatia mripuko wa ugonjwa wa Corona (COVID-19) ambao kwa sasa umeikumba nchi ya Afrika ya Kusini ambayo pia ni Nchi mwananchama wa Jumuiya ya SADC.


Naibu Katibu Mtendaji wa Maswala ya Ushirikiano wa Kikanda (SADC) Thembinkosi Mhlongo...

 

5 years ago

CCM Blog

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA SADC KWA NJIA YA VIDEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mkutano  wa Baraza la Mawaziri  wa Jumuiya  ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC)  kwa njia ya video kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Machi 18, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipunga mkono kuwaaga washiriki wa Mkutano  wa Baraza la Mawaziri  wa Jumuiya  ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) baada ya kufungua mkutano huo kwa njia ya video kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA: NCHI ZA SADC TUENDELEE KUPAZA SAUTI KUONDOLEWA VIKWAZO ZIMBABWE

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kutumia majukwaa ya kikanda, kitaifa na kimataifa kwa ajili ya kupaza sauti zao ili kusaidia kuondolewa kwa vikwazo kandamizi vya kiuchumi kwa Jamhuri ya Zimbabwe.
Akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC leo Jumatano (Machi 18, 2020) Jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu Majaliwa alisema Tanzania kupitia nafasi yake ya Uenyekiti wa SADC imeendelea kupaza sauti kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani