Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majaliwa atoa ahadi daraja Mbwemkuru

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema daraja la mto Mbwemkuru lililoko katika barabara ya kutoka Chikwale hadi Liwale, litakamilika kwa sababu ni kiungo muhimu kwa wakazi wa eneo hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Majaliwa: Serikali itatekeleza ahadi zote

Serikali ya Awamu ya Tano imesema itatekeleza ahadi zote zilizotolewa kwa wananchi wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu na kwamba watafanya hivyo kwa kutumia fedha zinazoendelea kukusanywa kwa kutumbua majipu na vyanzo vingine vya mapato.

 

10 years ago

Michuzi

FILIKUNJOME ATIMIZA AHADI YA UJENZI WA DARAJA MTO KITEWAKA JIMBONI KWAKE

 Mbunge  wa  jimbo la  Ludewa  Deo Filikunjombe wa pili   kushoto na viongozi wa Halmashauri  wakikabidhiana daraja la mto Kitewaka kwa  ajili ya  kujengwa kisasa baada ya  serikali  kukabidhi fedha za ujenzi huo Tsh miloni 240 Mbunge  Filikunjombe akilitazama daraja la mbao la mto Kitewaka ambalo litajengwa  kisasa.  Viongozi wa kanisa la Anglikana na wa CCM Ludewa  wakiongozana na mbunge Filikunjombe  mwenye kofia.
BOFYA HAPA KUONA PICHA...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS JPM ATEKELEZA AHADI YA KUJENGA DARAJA LA MTO SIBITI MKOANI SINGIDA ALILOAHIDI MWAKA 2015


Na Jumbe Ismailly- MKALAMA

WANANCHI wa Kata ya Msingi,pamoja na vijiji vinavyozunguka kata hiyo wilayani Mkalama,Mkoani Singida wataondokana na adha ya kutokwenda kwenye huduma za afya,elimu pamoja na kusafiri kwenda kwenye masoko ya mazao wanayozalisha mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa daraja la mto Msingi.

Ujenzi wa daraja hilo ulioanza kujengwa juni,11,mwaka jana kwa mkataba wa miezi 24 ni utekelezaji wa ahadi aliyotoa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AKAGUA UKARABATI WA DARAJA LILILOSOMBWA NA MAJI NA KUKATA MAWASILIANO KATI YA MOROGORO NA DODOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kazi ya ukarabati wa daraja la Kiyegeya lililopo eneo la Gairo ambalo limesombwa na maji na kusababisha kukatika kwa mawasiliano kati ya Morogoro na Dodoma, Machi 4, 2020. Wa pili kulia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kazi ya ukarabati wa daraja la Kiyegeya lililopo eno la Gairo ambalo limesombwa na maji na kusababisha kukatika kwa mawasiliano ya barabara kati ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama:atoa ahadi ya dola bilioni moja

Wajasiriamali jijini Nairobi wamesifu rais wa Marekani Barack Obama kwa kuwachangia dolla billion moja

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA ATOA POLE KWA FAMILIA YA SOKOINE


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na familia ya Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine wakati alipokwenda kutoa pole kwa familia hiyo imeondokewa  na Lazaro Edward Sokoine jijini Dar es salaam, Machi 29, 2020. Kutoka kushoto ni Balozi Joseph Sokoine ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Makamu wa Rais, Halima Jama, Mama Napono Sokoine , Christina Towo Sokoine na Kulia ni Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Kivuyo LembursWaziri Mkuu, Kassim...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA ATOA AGIZO KWA MAMENEJA WA TANROADS NCHINI



 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akitoa maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale, wakati akikagua ujenzi wa barabara ya mchepuo na kalvati jipya la zege katika barabara kuu ya Dodoma – Morogoro eneo la Kiyegeya, ambapo mawasiliano katika barabara hiyo yamerejea.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, pamoja...

 

9 years ago

CCM Blog

PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani