Majambazi wavunja Kanisa Katoliki Kilema, wapora
KUNDI la watu wanaodhaniwa ni majambazi, wamevamia na kupora fedha taslimu na vitu mbalimbali katika Kanisa Katoliki la Kilema, Jimbo la Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ph4Aa25jMlk/VTTiw8bmmAI/AAAAAAAC3UQ/8EHqustY3aw/s72-c/1.jpg)
KANISA KATOLIKI POROKIA YA MWANANYAMALA YAZINDUA HARAMBEE KUKARABATI KANISA HILO
![](http://2.bp.blogspot.com/-ph4Aa25jMlk/VTTiw8bmmAI/AAAAAAAC3UQ/8EHqustY3aw/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-sZD_07Sg5v0/VTTiuCUA03I/AAAAAAAC3UI/t4dJUbMvvnw/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GyxUwmKhA-Y/VTTi6vqqaXI/AAAAAAAC3U0/Q99oBdlO65s/s1600/9.jpg)
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala yazindua harambee kukarabati kanisa hilo
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo jijini Dar es Salaam.
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi
Mwanajumuiya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Stephen Minja, akionyesha Kadi Maalumu ya harambee ya...
10 years ago
Habarileo23 Sep
Majambazi waua, wapora
WATU wanne wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wanatuhumiwa kumwua mtu mwenye umri kati ya miaka 35 na 40 ambaye jina lake halikuweza kufahamika na kumjeruhi mwingine. Tukio hilo lilifanyika kwenye maduka yaliyopo kwenye Stendi Kuu ya Maili Moja wilayani Kibaha, jirani na kituo cha Polisi baada ya watu hao kufanya tukio la uhalifu.
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Majambazi waua mmoja, wapora
10 years ago
Habarileo01 Dec
Majambazi waua, wapora mil 4/-
MKULIMA aliyeshambuliwa na kundi la majambazi na kuporwa zaidi ya Sh milioni 4 za Tanzania na Sh 37,00O za Kenya amefariki dunia akipatiwa matibabu katika hospitali ya Misheni Masanga.
11 years ago
Habarileo02 Jun
Majambazi waua, wapora Sh milioni 20
WATU wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha aina ya Short gun wamepora kiasi cha Sh milioni 20 kutoka kwa mtumishi wa duka la kubadilishia fedha za kigeni la Northern Bureau de Change na kumpiga risasi mtu mmoja na kufa papo hapo.
10 years ago
Habarileo02 Jan
Majambazi waua, wapora mil 44/-
WATU wasiofahamika wamevamia na kumuua mlinzi wa jadi katika ofisi ya Chama cha Msingi cha Chikundi Amcoss kilichopo katika kijiji cha Mtunungu, kata ya Mwena tarafa ya Chikundi Halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani Mtwara na kufanikiwa kuiba Sh milioni 44, mali ya chama hicho.
11 years ago
Habarileo07 Aug
Majambazi wapora, waua ndugu wawili
NDUGU wawili wameuawa na majambazi waliovamia baa eneo la Mwananyamala kwa Mama Zacharia, jijini Dar es Salaam na kupora mkoba uliokuwa na fedha zaidi ya Sh milioni mbili.
10 years ago
Habarileo18 Aug
Majambazi waua, wapora fedha, simu
KUNDI la watu zaidi ya 10 wanaosadikiwa kuwa majambazi, wameua watu wawili, kujeruhi wengine kadhaa na kupora fedha za mauzo ya baa na simu katika mji wa Sirari.