Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majangili 409 yakamatwa Katavi

WATUHUMIWA 409 wa ujangili wamekamatwa katika Hifadhi ya Taifa Katavi wakiwa na silaha za kivita aina ya SMG, G3 na risasi 357 kati ya Juni 2013 na Juni mwaka huu....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

409 wakamatwa kwa ujangili sugu Katavi

WATU 409 wanaosadikiwa kuwa majangili sugu wamekamatwa wakifanya ujangili katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi wilayani Mlele mkoa wa Katavi katika kipindi kilichoanzia Juni 2013 hadi Juni mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

MAJANGILI 6 YAKAMATWA NA MENO YA TEMBO 53 YENYE JUMLA YA KILO 169.7

DSCF3201Waziri wa maliasili na utalii Mh.Lazaro Nyalandu akizungumza na wanahabari wa vyombo mbalimbali vya habari jijini Arusha juu ya kukamatwa kwa meno 53 ya tembo yenye jumla ya kilo 169.7 na majangili sita DSCF3202Meneja Uhusiano wa Tanapa,Pascal Sheluteteakifurahia jambo na wanahabari jijini Arusha DSCF3199 DSCF3198Wanahabari wa vyombo mbalimbali wakifatilia jambo kutoka kwa Waziri wa maliasili na utalii
Na Pamela Mollel,Arusha Wizara ya maliasili na utalii imetangaza kukamatwa kwa meno 53 ya tembo yenye jumla ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Karafuu ya magendo yakamatwa

 Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo (KMKM)Kisiwani Pemba kimefanikiwa kukamata magunia 34 ya karafuu kavu yaliyokuwa katika harakati ya kusafirishwa kwenda nje ya nchi kwa njia ya magendo.

 

9 years ago

Mwananchi

Shehena ya karafuu yakamatwa Pemba

Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo (KMKM), kimekamata shehena ya makonyo na karafuu kavu iliyodaiwa kusafirishwa kwenda nje ya nchi kwa njia ya magendo katika Bandari ya Milango Mikavu kisiwani hapa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mawasiliano biashara haramu yakamatwa

POLISI na Idara ya Uhamiaji Kilimanjaro wamekamata mawasiliano baina ya wahusika wa biashara ya wahamiaji haramu na mawakala wao baada ya kukamatwa watu watatu wanaotajwa kuwa vinara wa biashara ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Makontena tisa yakamatwa Dar

Mamlaka ya Bandari Tanzania (PTA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wamekamata makontena tisa yanayodhaniwa kukwepa kulipa kodi.

 

10 years ago

Michuzi

KARAFUU CHAFU YAKAMATWA PEMBA

Afisa mdhamini shirika la biashara la taifa Zanzibar ZSTC Pemba Abdalla Ali Ussi(kuli), akiwa na mkulima wa zao la karafuu Khatib Suleiman Amour, ambae anadaiwa kuchanganya karafuu na makonyo na kugundulika na watendaji wa ZSTC Finya wilaya ya Micheweni.MPIMAJI karafuu wa kituo cha mauzo ya zao hilo, Wete Pemba Kitwana Salim Kitwana, akipima karafuu hizo, kama alivyokutwa na mpiga picha wetu kituoni hapo.WANANCHI waliokodi shamba la mikarafuu la serikali eneo la Makuwe wilaya ya Micheweni...

 

11 years ago

Habarileo

Meno ya tembo yakamatwa Mtwara

JESHI la Polisi wilayani hapa, limekamata nyara za Serikali ikiwa ni meno ya tembo 58 yenye uzito wa kilo 130.6 na watuhumiwa watatu ambao walikuwa wanayasafirisha kutoka hapa kwenda Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani