Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


fursa zinazopatikana katika mkoa wa katavi ndani ya hifadhi ya taifa ya katavi

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Katavi changamkieni fursa za kiuchumi zilizopo’

Wakazi mkoani hapa wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo, ikiwamo kuingia ubia na wawekezaji wa kigeni ili kuleta maendeleo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda apokea taarifa ya mkoa wa Katavi

IMGL6122

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Ibrahim Mzengi wakati aliposoma taarifa fupi ya mkoa huo baada ya Waziri Mkuu kuwasili Mpanda mkoani Katavi kwa mapumziko mafupi  Julai 15, 2015. Kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa huo, Mhandisi Emmanuel Kalobelo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

11 years ago

Michuzi

habari toka wilayani mpanda mkoa wa katavi

 Mkuu wa wilaya ya Mpanda Mhe. Paza Mwamlima (kaunda suti nyeusi juu kushoto mstari wa pili) akiwa katika kijiji cha Mwese na baadhi ya vijana wajasiriamali wakipewa mafunzo juu ya kujikwamua kimaisha

Mkuu wa wilaya ya Mpanda  Mhe. Paza Mwamlima akiwa katika kijiji cha Kalema katika mwambao wa ziwa Tangayika ambako amekemea uvuvi haramu na kusimamia kuchomwa kwa  nyavu na vyandarua ambavyo vimekamatwa na idara ya uvuvi vikitumika kuvulia samaki. Picha na pasco emmanuel katona,...

 

5 years ago

CCM Blog

MKUU WA MKOA KATAVI KUONGOZA MATEMBEZI YA UHAMASISHAJI

Mkuu wa Mkoa wa Katavi MHE. Juma Homera anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika kuongoza Matembezi ya Uhamsishaji Machi 14, 2020 kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa Na Meno  Duniani, 2020 yatakayo anzia na kumalizikia: Viwanja vya  Shule ya Msingi Kashato kuanzia 12.45 ASubuhi 12.00 jioni. 

Ambapo Maadhimisho hayo yatafanyika Kitaifa Mkoani humo na Mgeni Rasmi Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Ummy Mwalimu.    

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA APOKEA TAARIFA YA MKOA WA KATAVI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Ibrahim Mzengi wakati aliposoma taarifa fupi ya mkoa huo baada ya Waziri Mkuu kuwasili Mpanda mkoani Katavi kwa mapumziko mafupi Julai 15, 2015. Kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa huo, Mhandisi Emmanuel Kalobelo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

Michuzi

Mkuu wa mkoa wa katavi atembelea Shamba darasa la mfano SAGCOT

Mkuu wa mkoa wa katavi Dtk Rajabu Rutengwe akikagua Shamba darasa la mfano SAGCOT lililopo mkoani katavi katika kijiji cha Mwenge wilaya ya Nsimbo lililopandwa kitaalamu na kuzingatia kanuni bora za kilimo na kutunzwa kwa kutumia mbolea kutoka kampuni ya yara Tanzania, mbegu bora za mahindi aina ya DKC 9089 kutoka kampuni ya mosanto vipimo vya sm 75*60sm na kupandwa kwa punje mbilimbili za megu. kampuni ya Mosanto akiwa anatekeleza mradi wa kilimo(SAGCOT) mkoani katavi. Shamba...

 

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu atembelea mkoa wa Katavi

 Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu, akiwa ameongozana na mkuu wa wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Col mstaafu Issa Njiku,  kutoka kulia ni kamanda wa Polisi mkoa wa Rukwa, SACP Jacob Mwaruanda na kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi SACP Dhahir Kidavashari, akiwa mkoani humo, jana katika ziara ya kikazi Mkuu wa Jeshi la Polisi  (IGP) Ernest Mangu, (katikati) akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa katavi,(hawapo pichani) kutoka kushoto ni Mkuu wa mkoa wa katavi, Dkt...

 

11 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii akutana na Watendaji wa Mkoa wa Katavi

Katibu Tawala Mkoa wa Katavi akimwongoza Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mama Anna Maembe wakati akikagua eneo la chuo cha maendeleo Msaginya wakati wa ziara yake ya siku mbili mkoani humo anaye mfuatia kushoto kwa Katibu Mkuu ni Afisa Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya Nsimbo Alex Magesa Na Mwisho mwenye SUTI YA kijivu ni Mkuu wa Chuo Msaginya Peter Kikunda ambaye ni mwenyeji akiwatembeza wageni. Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani