Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkuu wa mkoa wa katavi atembelea Shamba darasa la mfano SAGCOT

Mkuu wa mkoa wa katavi Dtk Rajabu Rutengwe akikagua Shamba darasa la mfano SAGCOT lililopo mkoani katavi katika kijiji cha Mwenge wilaya ya Nsimbo lililopandwa kitaalamu na kuzingatia kanuni bora za kilimo na kutunzwa kwa kutumia mbolea kutoka kampuni ya yara Tanzania, mbegu bora za mahindi aina ya DKC 9089 kutoka kampuni ya mosanto vipimo vya sm 75*60sm na kupandwa kwa punje mbilimbili za megu. kampuni ya Mosanto akiwa anatekeleza mradi wa kilimo(SAGCOT) mkoani katavi. Shamba...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu atembelea mkoa wa Katavi

 Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu, akiwa ameongozana na mkuu wa wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Col mstaafu Issa Njiku,  kutoka kulia ni kamanda wa Polisi mkoa wa Rukwa, SACP Jacob Mwaruanda na kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi SACP Dhahir Kidavashari, akiwa mkoani humo, jana katika ziara ya kikazi Mkuu wa Jeshi la Polisi  (IGP) Ernest Mangu, (katikati) akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa katavi,(hawapo pichani) kutoka kushoto ni Mkuu wa mkoa wa katavi, Dkt...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mkuu wa Mkoa wa Katavi atembelea banda la Mbeya yetu nane nane amwaga sifa kem kem

Banda la Mbeya yetu Blog.

DSC00341

Mtoa Maelezo kutoka Tone Multimedia Group kupitia Mtandao wao wa Mbeya yetu Blog Fredy Anthony Njeje wa kwanza kulia akitoa maelezo ya kina kwa   Mkuu wa Mkoa wa  katavi  Mh.Dr Rajab Lutengwe jinsi mtandao wa Mbeya yetu unavyofanya kazi pia unavyosaidia upatikanaji wa habari kwa urahisi kabisa. Pia kuekeza sababu za Kushiriki katika mashindano ya nane nane ikiwa ni pamoja na Kutoa elimu juu ya mitandao ya kijamii na faida zake hasa upande wa Blogs na matumizi...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA KATAVI ATEMBELEA BANDA LA MBEYA YETU NANE NANE,AMWAGA SIFA KEM KEM

 Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dr. Rajab Lutengwe, ameusifia mtandao wa kijamii wa Mbeya Yetu Unaomilikiwa na Tone Multimedia Group kwa kuonesha mabadaliko ya kwenda na wakati katika  teknolojia ya  mawasiliano na habari teknolojia ya kisasa.
 Dr. Lutengwe ametoa pongezi hizo hivi wakati akitoa tathmini yake mara baada ya kutembelea mabanda mbalimbali kwenye maonesho ya wakulima  maarufu kama Nane nane yanayoendelea kwenye viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.
Alisema kuwa mtandao huu umeonesha...

 

11 years ago

Michuzi

Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali atembelea shamba la mkuu wa wilaya ya mvomero

 Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro, Anthony Mtaka  ( kulia) akimwonesha Mhariri Mtendaji  wa Magazeti ya Serikali ‘ Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN), Bw. Gabriel Nderumaki ,aina ya ufuta naozaa kwa wingi wakati alipotemtembeza  kuona Mradi wa Kilimo wa Mkuu wa Wilaya hiyo, lenye ukubwa wa zaidi ya ekari 100  linalojumuisha kilimo cha mahindi , Ufuta na ufugaji wa samaki , katika Kijiji cha Lubungo, wilayani humo.  Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali ‘ Tanzania...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA SHAMBA LA WAZIRI MKUU DODOMA

 Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanachuo wa Chuo cha Nyuki cha Tabora waliotembelea shamba lake lililopo Zuzu, Dodoma kujifunza ufugaji bora wa nyuki  Machi 22, 2014.  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd kukagua zao la zabibu  katika shamba lake  lililopo Zuzu , Dodoma Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa maelezo kuhusu  zao la migomba kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd ambaye alitembelea shamba lake...

 

11 years ago

Michuzi

Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dar atembelea eneo la mafuriko mkoani morogoro

Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadiq akimshukuru mmoja wa wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam Rumin Shar kutoka kampuni ya Pan Africa Enterprises Ltd baada ya Kampuni yao kutoa magodoro 200 aina ya Comfy kwa ajiri ya ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea wiki iliyopita eneo la Dakawa mkoani humo na kusababisha kifo cha mtu mmoja na kuwaacha mamia bila makazi. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro akimweleza kwa kina hali ilivyokuwa baada ya kutokea kwa mafuriko Mkuu wa Mkoa wa Dar...

 

5 years ago

CCM Blog

MKUU WA MKOA KATAVI KUONGOZA MATEMBEZI YA UHAMASISHAJI

Mkuu wa Mkoa wa Katavi MHE. Juma Homera anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika kuongoza Matembezi ya Uhamsishaji Machi 14, 2020 kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa Na Meno  Duniani, 2020 yatakayo anzia na kumalizikia: Viwanja vya  Shule ya Msingi Kashato kuanzia 12.45 ASubuhi 12.00 jioni. 

Ambapo Maadhimisho hayo yatafanyika Kitaifa Mkoani humo na Mgeni Rasmi Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Ummy Mwalimu.    

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA APOKEA TAARIFA YA MKOA WA KATAVI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Ibrahim Mzengi wakati aliposoma taarifa fupi ya mkoa huo baada ya Waziri Mkuu kuwasili Mpanda mkoani Katavi kwa mapumziko mafupi Julai 15, 2015. Kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa huo, Mhandisi Emmanuel Kalobelo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani