Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majibu ya Amanda Kuhusu Madai ya Kutumia ARV

Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ hivi karibuni aligeuka mbogo kwa shabiki wake aliyefahamika kwa jina la Joel baada ya kuambiwa eti ni mmoja wa wasanii wanaotumia vidonge vya ARV vya kuongeza siku za kuishi kwa waathirika wa Ukimwi.

Ishu ilianzia kwenye mtandao wa Facebook ambapo Joel aliona picha ya Amanda akipima ugonjwa ambao haukujulikana ndipo kijana huyo alipokomenti kwamba eti msanii huyo ana ngoma.Akizungumza na Ijumaa, Amanda alisema amechoshwa na watu wanaomkashifu...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya kuambiwa anatumia ARV, Amanda poshy aamua kuonesha majibu yake ya “ngoma”

Baada ya ile story iliyozagaa mitandaoni kuwa  mwanadada Amanda poshy anatumia ARV (Dawa ya kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI) hatimaye leo, mwanadada huyo ameamua kuudhihirishia umma kuwa yeye yuko safi, na habari hizo ni uzushi tu na yenye lengo la kumchafua kwenye jamii baada ya kuamua kupima na kuweka majibu yake ya vipimo vya “ngoma” hadharani  kwenye mtandao mmoja wa kijamii.

Katika picha hiyo mwanadada huyo aliandika kuwa ni vizuri kucheki afya yako mara kwa mara, picha iliyokuwa...

 

10 years ago

GPL

AMANDA AAMBIWA ANATUMIA ARV, AWA MBOGO!

Hamida Hassan
Staa mwenye ‘figa’ matata, Tamrina Posh ‘Amanda’ hivi karibuni aligeuka mbogo kwa shabiki wake aliyefahamika kwa jina la Joel baada ya kuambiwa eti ni mmoja wa wasanii wanaotumia vidonge vya ARV vya kuongeza siku za kuishi kwa waathirika wa Ukimwi. Staa mwenye ‘figa’ matata, Tamrina Posh ‘Amanda’. Ishu ilianzia kwenye mtandao wa Facebook ambapo Joel aliona picha...

 

10 years ago

Bongo Movies

Amanda Poshy azua maswali yasiyo na majibu kwa kauli hii.

Amanda Poshy azua maswali yasiyo na majibu kwa kauli hii.

Leo kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii mwanadada Amanda Poshy amezua maswali yasiyo na majibu baada ya kuandika maneno ambayo wengi wameshindwa kujua yana maana gani kwani yamekaa kimafumbo flani hivi.

Kauli hii ya mwanadada Amanda inakuja siku chache tu baada ya mrembo Irene uwoya kuongelea jambo kama hili hili siku mbili zilizopita.

Amanda poshy ameongelea mambo mengi yakiwemo “Kuchukuliana mabwana kwa waigizaji wa...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Faida ya kutumia ARV kabla CD4 kupungua

NI kawaida katika nchi
zinazoendelea kwa watu waishio na virusi vya ukimwi (VVU) kutoanzishiwa
matibabu ya dawa za kufubaza virusi (ARV) hadi pale kinga za mwili (CD4) zinapopungua na kufikia seli 350 kwa kila milimita moja ya ujazo.

Nchini Tanzania, watu wenye maambukizi ya VVU na wagonjwa wa ukimwi walikuwa hawaanzishiwi dawa za ARV hadi kinga
zilipokuwa zimepungua kufikia seli 200 kwa milimita moja ya ujazo kwa hofu kuwa, kuanzisha matibabu mapema kunafanya matumizi ya ARV kuwa ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Maswali na majibu kuhusu UKIMWI

Moja ya changamoto tulizonazo katika mapambano dhidi ya VVU ni tatizo hilo kugusa kila rika na zaidi hasa vijana ambao wako katika hatari ya kupata maambukizi. Ingawa ugonjwa huu umedumu kwa zaidi ya miaka 30 sasa, lakini bado kuna maswali mengi ambayo watu hawayafahamu kuhusu ugonjwa huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Maswali na majibu kuhusu UKIMWI (2)

Maambukizi ya VVU kwa mashine za kunyolea ni 2% ya maambukizi yote.

 

5 years ago

Michuzi

Majibu ya maswali 10 yanayoulizwa sana kuhusu coronavirus

Zaidi ya nchi 110 hadi sasa zimeripoti visa vya coronavirus na Shirika la Afya Duniani limetangaza virusi hivyo kuwa janga.

Yafuatayo ni majibu ya baadhi ya maswali ambayo wasomaji wamekua wakiyauliza.

1. Je inachukua kipindi gani mpaka mtu afahamike kuwa na coronavirus? - Swali lililoulizwa na Gillian Gibs

Inachukua siku tano kwa wastani kuanza kuonesha dalili, tangu mtu apate maambukizi, wanasayansi wamesema, lakini baadhi ya watu huanza kuonesha dalili hata baadae kuliko kipindi hiki.
Jinsi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mo Farah ataka majibu kuhusu kocha wake

Mwanariadha Mo Farah wa Uingereza amekasirishwa na hatua ya kulitia jina lake katika matope na sasa anataka majibu kufuatia madai yanayomuhusisha kocha wake Alberto Salazar na dawa za kusisimua misuli.

 

9 years ago

MillardAyo

EXLUSIVE: Majibu ya Alikiba kuhusu kolabo yake na Davido

Ni Exclusive Interview Alikiba aliyoifanya na MillardAyo baada ya maswali kuendelea kuwepo kuhusu walipofikia baada ya Davido kuongea kwenye Interview na Millard Ayo July 2014 na kusema single nyingine na mkali wa bongofleva itakua ni yeye na Alikiba, sasa kujua alichosema Alikiba tazama hii Interview hapa chini.

The post EXLUSIVE: Majibu ya Alikiba kuhusu kolabo yake na Davido appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani