AMANDA AAMBIWA ANATUMIA ARV, AWA MBOGO!
![](http://api.ning.com:80/files/Gk-Khs5Ug5OMGgjzKkAMNDlOIgPuvqAR7ZXeXkTXUrcuzL5gWFDSSxs04uKeJ*nRbOd4Jfu2GIQQR2bNA3*3h08ZvnACSwfM/Amanda.jpg?width=650)
Hamida Hassan Staa mwenye ‘figa’ matata, Tamrina Posh ‘Amanda’ hivi karibuni aligeuka mbogo kwa shabiki wake aliyefahamika kwa jina la Joel baada ya kuambiwa eti ni mmoja wa wasanii wanaotumia vidonge vya ARV vya kuongeza siku za kuishi kwa waathirika wa Ukimwi. Staa mwenye ‘figa’ matata, Tamrina Posh ‘Amanda’. Ishu ilianzia kwenye mtandao wa Facebook ambapo Joel aliona picha...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies22 Apr
Baada ya kuambiwa anatumia ARV, Amanda poshy aamua kuonesha majibu yake ya “ngoma”
Baada ya ile story iliyozagaa mitandaoni kuwa mwanadada Amanda poshy anatumia ARV (Dawa ya kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI) hatimaye leo, mwanadada huyo ameamua kuudhihirishia umma kuwa yeye yuko safi, na habari hizo ni uzushi tu na yenye lengo la kumchafua kwenye jamii baada ya kuamua kupima na kuweka majibu yake ya vipimo vya “ngoma” hadharani kwenye mtandao mmoja wa kijamii.
Katika picha hiyo mwanadada huyo aliandika kuwa ni vizuri kucheki afya yako mara kwa mara, picha iliyokuwa...
11 years ago
Habarileo15 Apr
Kinana awa mbogo
KATIBU Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, amejikuta akigeuka mbogo na kuwaomba radhi wakazi wa kata ya Kirema, wilayani Mpanda mkoani Katavi, baada ya kubaini kuwa, watendaji wa Serikali wamempatia zabuni ya ujenzi wa bandari nne mkandarasi asiye na uwezo kifedha na kitaalamu.
10 years ago
Bongo Movies17 Apr
Majibu ya Amanda Kuhusu Madai ya Kutumia ARV
Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ hivi karibuni aligeuka mbogo kwa shabiki wake aliyefahamika kwa jina la Joel baada ya kuambiwa eti ni mmoja wa wasanii wanaotumia vidonge vya ARV vya kuongeza siku za kuishi kwa waathirika wa Ukimwi.
Ishu ilianzia kwenye mtandao wa Facebook ambapo Joel aliona picha ya Amanda akipima ugonjwa ambao haukujulikana ndipo kijana huyo alipokomenti kwamba eti msanii huyo ana ngoma.Akizungumza na Ijumaa, Amanda alisema amechoshwa na watu wanaomkashifu...
10 years ago
Mwananchi01 Jul
Waziri Mahenge awa ‘mbogo’ Dar
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZGGCrW1JrggnXjm0OElspwsz1oBZ*0MmpCGfkb-oYYhPtSAcGuzYNtxSEyrQHe11-HisjByECzCJo*fq8YhIr-j7MK*RGhNn/7.jpg)
WEMA AWA MBOGO KISA DIAMOND
10 years ago
Bongo Movies10 Mar
Wema Awa Mbogo Kisa Kutajiwa Diamond
Vijimambo:Mrembo na staa wa Bongo Movie asiyekaukiwa na visa na mikasa, Wema Sepetu amezua kioja cha aina yake baada ya kutajiwa jina la aliyekuwa mwandani wake, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Kioja hicho alikifanya juzikati nyumbani kwake, Kijitonyama jiji Dar alipokuwa akirekodi kipindi chake cha In My Shoes ndipo aliposhtuka baada kutumiwa maoni na moja wa shabiki wake kupitia mtandao wa simu.“Heeeh! Huyu vipi tena ananitajia jina hili (Diamond)? Sitaki kabisa kulisikia,...
10 years ago
Bongo Movies18 Feb
Mama Kanumba Awa Mbogo, Kisa Ofisi ya Kanumba…!
KUFUATIA kufungwa kwa ofisi ya aliyekuwa msanii nyota wa filamu marehemu Steven Kanumba ya Kanumba The Great, mama mzazi Flora Mtegoa amegeuka mbogo baada ya kuulizwa kuhusu hatima ya kikazi ya taasisi hiyo.
Watu wamezidi kunifuatilia mambo yangu, sitaki kabisa nimechoka, hii kampuni haimhusu mtu yeyote, hili ni jambo langu siyo lazima niliweke wazi, kama kampuni imekufa au itaendelea haiwahusu, wanaoamini imekufa waamini hivyo, maana hata Yesu walisema atarudi hadi leo mbona hajarudi?...
9 years ago
BBCSwahili25 Sep
Rodgers wa Liverpool aambiwa ana mtihani
10 years ago
Habarileo07 Oct
JK aambiwa sekta binafsi imepata mafanikio
SEKTA binafsi hapa nchini inapata mafanikio makubwa kutokana na ushirikiano mzuri kutoka serikalini. Taarifa kutoka Ikulu jana ilisema Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Mizinga Melu alisema hayo wakati akizungumza na Rais Jakaya Kikwete jana jijini Dar es Salaam.