Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baada ya kuambiwa anatumia ARV, Amanda poshy aamua kuonesha majibu yake ya “ngoma”

Baada ya ile story iliyozagaa mitandaoni kuwa  mwanadada Amanda poshy anatumia ARV (Dawa ya kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI) hatimaye leo, mwanadada huyo ameamua kuudhihirishia umma kuwa yeye yuko safi, na habari hizo ni uzushi tu na yenye lengo la kumchafua kwenye jamii baada ya kuamua kupima na kuweka majibu yake ya vipimo vya “ngoma” hadharani  kwenye mtandao mmoja wa kijamii.

Katika picha hiyo mwanadada huyo aliandika kuwa ni vizuri kucheki afya yako mara kwa mara, picha iliyokuwa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AMANDA AAMBIWA ANATUMIA ARV, AWA MBOGO!

Hamida Hassan
Staa mwenye ‘figa’ matata, Tamrina Posh ‘Amanda’ hivi karibuni aligeuka mbogo kwa shabiki wake aliyefahamika kwa jina la Joel baada ya kuambiwa eti ni mmoja wa wasanii wanaotumia vidonge vya ARV vya kuongeza siku za kuishi kwa waathirika wa Ukimwi. Staa mwenye ‘figa’ matata, Tamrina Posh ‘Amanda’. Ishu ilianzia kwenye mtandao wa Facebook ambapo Joel aliona picha...

 

10 years ago

Bongo Movies

Amanda Poshy azua maswali yasiyo na majibu kwa kauli hii.

Amanda Poshy azua maswali yasiyo na majibu kwa kauli hii.

Leo kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii mwanadada Amanda Poshy amezua maswali yasiyo na majibu baada ya kuandika maneno ambayo wengi wameshindwa kujua yana maana gani kwani yamekaa kimafumbo flani hivi.

Kauli hii ya mwanadada Amanda inakuja siku chache tu baada ya mrembo Irene uwoya kuongelea jambo kama hili hili siku mbili zilizopita.

Amanda poshy ameongelea mambo mengi yakiwemo “Kuchukuliana mabwana kwa waigizaji wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Majibu ya Amanda Kuhusu Madai ya Kutumia ARV

Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ hivi karibuni aligeuka mbogo kwa shabiki wake aliyefahamika kwa jina la Joel baada ya kuambiwa eti ni mmoja wa wasanii wanaotumia vidonge vya ARV vya kuongeza siku za kuishi kwa waathirika wa Ukimwi.

Ishu ilianzia kwenye mtandao wa Facebook ambapo Joel aliona picha ya Amanda akipima ugonjwa ambao haukujulikana ndipo kijana huyo alipokomenti kwamba eti msanii huyo ana ngoma.Akizungumza na Ijumaa, Amanda alisema amechoshwa na watu wanaomkashifu...

 

10 years ago

Bongo Movies

10 years ago

GPL

AMANDA ACHARUKIWA KISA NGOMA

MWANDISHI WETU MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa baada ya kukanusha kuwa hana ugonjwa wa Ukimwi, mpenzi wake amemcharukia kweli akihoji kwa nini akanushe kama hana? Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’. Akizungumzia tukio hilo, Amanda alisema baada ya gazeti la Ijumaa la wiki iliyopita kuripoti akimchana shabiki aitwaye Joel ambaye aliandika...

 

11 years ago

GPL

AVAMIA NYUMBA YA MPENZI WAKE, AVUNJA SOFA, ACHANA NGUO NA MASHUKA BAADA YA KUAMBIWA HAPENDWI

Nyumba ya Rebecca Shaw ikiwa imevurugwa. Alipofika alifikiri kuwa ni damu iliyokuwa imetapakaa ukutani kabla ya kubaini kuwa zilikuwa 'tomato sauce'.
Polisi wakikagua ndani ya nyumba ya Rebecca ambapo Geraghty alisababisha hasara ya shilingi milioni 20.9.…

 

9 years ago

Bongo5

Baada ya kuonesha kumkubali Wizkid, Alicia Keys kumshirikisha kwenye wimbo wake

Alicia n WizkidAyodeji Ibrahim Balogun, maarufu kama Wizkid ni msanii ambaye kwasasa wanamuziki wengi wakubwa wa Marekani, sio tu wanapenda muziki wake bali wanatamani kumshirikisha katika kazi zao. Akiwa Tanzania wiki iliyopita, Wizkid (25) aliwataja baadhi ya wasanii wakubwa duniani ambao wametaka kufanya naye kazi, kumshirikisha katika kazi zao. Miongoni mwao alimtaja mfalme wa RnB, Robert Kelly […]

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA KUVULIWA UBUNGE TLP..MREMA AAMUA KUJIUNNGA RASMI NA ACT


Augustino Mrema (kulia).NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAMKAMATI ya Ukweli na Maridhiano ya Chama cha Tanzania Labour (TLP), imetangaza kumvua uanachama Mwenyekiti wa chama hicho, Agustino Mrema.Akizungumza jana, jijini Dar es Salaam na vyombo vya habari, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Joram Kinanda alisema kuwa kamati hiyo imefikia uamuzi huo baada ya kupitia kwa kina malalamiko yaliyokuwa yakimuhusu Mrema, ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo.Mwenyekiti huyo alisema kuwa mbali na Mrema wengine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani