Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA 4 za mwanadada Amanda Poshy. Ni shidaa!

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Amanda Poshy azua maswali yasiyo na majibu kwa kauli hii.

Amanda Poshy azua maswali yasiyo na majibu kwa kauli hii.

Leo kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii mwanadada Amanda Poshy amezua maswali yasiyo na majibu baada ya kuandika maneno ambayo wengi wameshindwa kujua yana maana gani kwani yamekaa kimafumbo flani hivi.

Kauli hii ya mwanadada Amanda inakuja siku chache tu baada ya mrembo Irene uwoya kuongelea jambo kama hili hili siku mbili zilizopita.

Amanda poshy ameongelea mambo mengi yakiwemo “Kuchukuliana mabwana kwa waigizaji wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya kuambiwa anatumia ARV, Amanda poshy aamua kuonesha majibu yake ya “ngoma”

Baada ya ile story iliyozagaa mitandaoni kuwa  mwanadada Amanda poshy anatumia ARV (Dawa ya kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI) hatimaye leo, mwanadada huyo ameamua kuudhihirishia umma kuwa yeye yuko safi, na habari hizo ni uzushi tu na yenye lengo la kumchafua kwenye jamii baada ya kuamua kupima na kuweka majibu yake ya vipimo vya “ngoma” hadharani  kwenye mtandao mmoja wa kijamii.

Katika picha hiyo mwanadada huyo aliandika kuwa ni vizuri kucheki afya yako mara kwa mara, picha iliyokuwa...

 

11 years ago

Bongo Movies

PICHA: Tazama picha tano (5) kali sana za mwanadada Elizabeth Michael a.k.a LULU. Utazipenda.

Picha kwa hisani ya blog ya http://www.domozege.blogspot.com

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Serengeti Fiesta Songea, Ruvuma ni shidaa!

Wakazi wa Songea mjini mkoani Ruvuma usiku wa kuamkia leo waliongezeka kwenye orodha ya mikoa iliyopata shangwe za Serengeti Fiesta 2014 hadi sasa. Jionee picha za show hiyo. Linah akiwa na shabiki ambaye uzalendo nae ulimshinda Linex aliwaimbisha wakazi wa Songea vya kutosha Mkuu wa wilaya ya Songea alikimtangaza mshindi wa Super nyota Diva Mkuu […]

 

10 years ago

Vijimambo

Ugomvi wa Mipaka ya Viwanja Ni Shidaa, Embu Ona Hawa Walivyofanyiziana

Ugomvi wa Mipaka ya Viwanja vya Kujenga Nyumba unapofikia hali hii kuna hatari hata ya kukatana mapanga , Kinachoonekana Hapo kwenye hiyo Nyumba ni kukosa maridhiano kati ya majirani hao wawili , Huyu mwenye nyumba inaonekana alijenga nyumba yake na kuingia kidogo katika kiwanja cha mwingine ambae nae baada ya kukuta hivyo akajenga ukuta kwenye mpaka wake ambao ukuta umeingia mpaka kibarazani kwa Jirani…..

 

5 years ago

Michuzi

BrighterMonday Tanzania yazindua kampeni ya ‘Umoja Wakati wa Shida’ kusaidia Waajiri Kukabiliana na Athari za Janga la Corona

Kampuni ya uajiri na usimamizi wa rasilimali watu ya BrighterMonday Tanzania imeanzisha programu iitwayo ‘Umoja Wakati wa Shida’ inayotoa nafasi kwa waajiri (makampuni na watu binafsi) kutangaza kazi kwenye tovuti yao bure kwa kipindi cha miezi mitatu ijayo, wakati ambao taifa linakabiliana na janga la maradhi ya virusi vya Corona.
Kampeni hii inalenga kuwezesha uendelevu wa juhudi za makampuni na biashara kwa kuziwesesha kufanya udahili na kuajiri watendaji sahihi ili kuongeza ufanisi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

LUPITA NYONG’O: Mwanadada Mkenya anayetikisa Hollywood

ILIKUWA ni nadra kwa waigizaji wa Afrika Mashariki kung’ara katika medani za filamu hata wanapopata nafasi ya kufanya kazi na nyota wa Hollywood. Pamoja na kupata bahati hiyo  mara kadhaa,...

 

10 years ago

Bongo Movies

Huu ndio ujumbe wa mwanadada Jennifer Kyaka - Odama asubuhi ya leo.

Kupitia mtandao mmoja maarufu wa kijamii, mwanadada Odama ametoa ujumbe huu kwa watu wote asubuhi ya leo

"...Natafakari zab.116:12 "Nimrudishie nini Bwana kwa Ukarimu wake wote alionitendea? Ameniwezesha mangapi ikiwemo uhai? Ameniepusha mangapi kikiwepo kifo? Tena ni Ndugu wangapi nilianza nao Mwaka lakini mpaka dakika hii sipo nao? Nimemtendea nini MUNGU mpaka dakika hii mimi napumua? Naomba uungane nami katika kutafakari fungu hili kwa kusema yote ni kwa NEEMA TU. Ukiweza chota nawe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani