Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ugomvi wa Mipaka ya Viwanja Ni Shidaa, Embu Ona Hawa Walivyofanyiziana

Ugomvi wa Mipaka ya Viwanja vya Kujenga Nyumba unapofikia hali hii kuna hatari hata ya kukatana mapanga , Kinachoonekana Hapo kwenye hiyo Nyumba ni kukosa maridhiano kati ya majirani hao wawili , Huyu mwenye nyumba inaonekana alijenga nyumba yake na kuingia kidogo katika kiwanja cha mwingine ambae nae baada ya kukuta hivyo akajenga ukuta kwenye mpaka wake ambao ukuta umeingia mpaka kibarazani kwa Jirani…..

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Hawa Ndiyo Wasanii Mbalimbali Waliojitokeza Viwanja vya Jangwani Kwenye Uzinduzi wa Kampeni za UKAWA

Hawa Ndiyo Wasanii Mbalimbali Waliojitokeza Viwanja vya Jangwani Kwenye Uzinduzi wa Kampeni za UKAWA

Credit:MillardAyo.Com

 

10 years ago

Bongo Movies

10 years ago

Bongo5

Picha: Serengeti Fiesta Songea, Ruvuma ni shidaa!

Wakazi wa Songea mjini mkoani Ruvuma usiku wa kuamkia leo waliongezeka kwenye orodha ya mikoa iliyopata shangwe za Serengeti Fiesta 2014 hadi sasa. Jionee picha za show hiyo. Linah akiwa na shabiki ambaye uzalendo nae ulimshinda Linex aliwaimbisha wakazi wa Songea vya kutosha Mkuu wa wilaya ya Songea alikimtangaza mshindi wa Super nyota Diva Mkuu […]

 

9 years ago

The Star

Tanzanian couple, 'beggars' arrested over ploy for money in Embu town


The Star
Tanzanian couple, 'beggars' arrested over ploy for money in Embu town
The Star
A Tanzanian man and his wife have been arrested for allegedly placing physically challenged people on the streets of Embu town to beg for money. Six people living with disabilities, aged between 20 and 25, and two who allegedly pushed the wheelchairs ...
Embu police unearth con racket involving beggersThe Standard Digital News (satire) (press release) (registration) (blog)

all 2

 

9 years ago

AllAfrica.Com

Kenya: Tanzanian Couple, 'Beggars' Arrested Over Ploy for Money in Embu Town


Capital FM Kenya
Kenya: Tanzanian Couple, 'Beggars' Arrested Over Ploy for Money in Embu Town
AllAfrica.com
A Tanzanian man and his wife have been arrested for allegedly placing physically challenged people on the streets of Embu town to beg for money. Six people living with disabilities, aged between 20 and 25, and two who allegedly pushed the wheelchairs ...
Police smash begging syndicate in EmbuCapital FM Kenya (press release) (blog)
Embu police unearth con racket involving beggersThe Standard...

 

11 years ago

GPL

SNURA, ONA SASA UMEVURUGWA!

KATIKA toleo namba 859 la Desemba 29 hadi Januari 2, 2014 la gazeti hili, kwenye safu yetu hiihii, niliandika kuhusu Snura Mushi, msanii anayetingisha anga la muziki wa mduara. Yupo juu kwa kuwa kibao chake cha Majanga kinasumbua mno hivi sasa. Snura Mushi. Kwa wale ambao hawakubahatika kunisoma, niliandika nikionyesha masikitiko yangu kwa namna binti huyu anavyocheza akiwa jukwaani na hata kwenye video zake. Kama haujawahi...

 

5 years ago

Michuzi

BrighterMonday Tanzania yazindua kampeni ya ‘Umoja Wakati wa Shida’ kusaidia Waajiri Kukabiliana na Athari za Janga la Corona

Kampuni ya uajiri na usimamizi wa rasilimali watu ya BrighterMonday Tanzania imeanzisha programu iitwayo ‘Umoja Wakati wa Shida’ inayotoa nafasi kwa waajiri (makampuni na watu binafsi) kutangaza kazi kwenye tovuti yao bure kwa kipindi cha miezi mitatu ijayo, wakati ambao taifa linakabiliana na janga la maradhi ya virusi vya Corona.
Kampeni hii inalenga kuwezesha uendelevu wa juhudi za makampuni na biashara kwa kuziwesesha kufanya udahili na kuajiri watendaji sahihi ili kuongeza ufanisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani