MAJINA 403 YA WAUZA UNGA YAANIKWA
![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akSnbqKjB60FKKet*3NAayXJ6IPzgCI82tFjYpM5O8emY0vVpU07EV5kfRfNvyxwMMfVbGOrpmBmjnyG2C8gQVUy/majina.jpg)
Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa HATIMAYE gazeti namba moja kwa habari za uchunguzi Tanzania, Uwazi limeyanasa majina 403 ya Watanzania waliokamatwa, kufungwa au kushikiliwa katika magereza mbalimbali duniani kwa makosa ya madawa ya kulevya ‘unga’. Baadhi ya watuhumuiwa wa kiume waliokamatwa kwa makosa ya kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya ‘unga’. Hivi karibuni, serikali...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Jun
JK: Wauza unga hawatanyongwa
11 years ago
Mwananchi09 Feb
Wakanusha wauza ‘unga’ kunyongwa
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Vigogo wauza unga wakamatwa
Na Makongoro Oging’, UWAZI
DAR ES SALAAM: WALE vigogo wanaosadikiwa kujihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya ‘unga’ nchini wameanza ‘kutumbuliwa majipu’ kufuatia Jeshi la Polisi Tanzania Kitengo cha Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola kuanza kuwakamata, Uwazi linakupa zaidi.
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu ndani ya jeshi hilo, vigogo wengi wanaojihusisha na biashara hiyo walikamatwa wiki iliyopita katika maeneo ya Kinondoni, Ilala na...
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Chikawe: Wauza ‘unga’ vigogo wa serikali
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe amesema wafanyabiashara wakubwa wa dawa za kulevya ni vigogo wa serikali. Akizungumza na viongozi wa Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo,...
9 years ago
Mwananchi22 Dec
10 years ago
Mwananchi26 Jul
Wagombea ADC waonya wauza unga
10 years ago
Habarileo25 Mar
Wabunge wataka wauza ‘unga’ wanyongwe
SERIKALI imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Udhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya wa mwaka 2014, unaopendekeza wanaobainika kufanya biashara hiyo, watozwe faini ya Sh bilioni moja au kifungo cha maisha.
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
Serikali yalaumiwa kuwaficha wauza ‘unga’
SERIKALI imelaumiwa kwa kushindwa kuyaweka hadharani majina ya vigogo wanaojihusisha na dawa ya kulevya. Lawama hizo zilitolewa mjini hapa jana na Padri Baptisti Mapunda wa Shirika la White Fathers la...
10 years ago
Mwananchi31 Dec
Siku za ‘wauza unga’ China zahesabika