Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJONZI: Amigolas kuzikwa leo Kisutu

>Mwanamuziki wa bendi ya Ruvu Star inayomilikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Hamis Kayumbu Amigolas aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana baada ya kulazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa siku tano, anatarajiwa kuzikwa leo saa 9:00 kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

AMIGOLAS KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR

MAZIKO ya mwanamuziki wa zamani wa Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta’, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ aliyefariki usiku wa kuamkia leo yatafanyika leo saa 9 alasiri katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Amigolas amefariki kwa ugonjwa wa moyo akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa siku kadhaa. Mwimbaji huyu ambaye hadi anafariki, alikuwa mtumishi wa bendi ya Ruvu Stars inayomilikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).

Amigo alilazwa Muhimbili...

 

10 years ago

GPL

AMIGOLAS KUZIKWA KESHO MAKABURI YA KISUTU, DAR

Mkurugegenzi wa ASET,  Asha Baraka akiwa msibani. Rogert Hega, 'Katapilla' akiwa msibani. Victor Mkambi akiwa msibani.…

 

10 years ago

GPL

AMIGOLAS AZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR

Mwili wa marehemu, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ ukiwasili nyumbani kwao Mburahati leo jijini Dar es Salam. Mjane wa marehemu, Bi Modesta Emmanuel akiwa amezimia msibani.…

 

10 years ago

Michuzi

MWANAMUZIKI MKONGWE WA TWANGA PEPETA,AMIGOLAS AZIKWA MAKUBURI YA KISUTU JIJINI DAR LEO



Waombolezaji wakiuswalia mwili wa marehemu Hamis Zayumba, maarufu kama AMIGOLAS, kabla ya mazishi yake yaliyofanyika leo Jumatatu kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Amigolas ambaye alikuwa mtunzi na mwimbaji mashuhuri wa bvendi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta, alifariki Jumapili jijini.Mwimbaji na mtuzni, Ali Choki, akiwa na uso wa huzuni wakati wa mazishi ya AMIGOLAS, ambaye kipindi gulani walikuwa bendi moja ya Twanga PepetaWaombolezaji wakiwemo wasanii maarufu,...

 

10 years ago

GPL

SHEM KARENGA KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR

Marehemu Shem Karenga enzi za uhai wake. MWILI wa mwanamuziki nguli aliyekuwa na umahiri wa kuimba na kucharaza gitaa la Solo, Shem Ibrahim Karenga utazikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam saa 10 alasiri. Mwili wa marehemu utapelekwa katika msikiti wa Manyema, Kariakoo saa 8 mchana kwa ajili ya kuswaliwa! Shem Karenga alifariki dunia jana akiwa katika Hospitali ya Amana  jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzia: Bondia wa zamani iraq hudu afariki dunia leo, kuzikwa kesho kisutu Dar es salaam

BONDIA wa zamani wa ngumi za kulipwa nchini, Iraq Hudu 'Kimbuga' (49) amefariki dunia, baada ya kuugua kwa muda mfupi.   Akizungumza jijini Dar es Salaam leo,  Dada wa Marehemu Tiba Takadiri, alisema kuwa Hudu amefariki jana majira ya saa 11 ya alfajiri kwenye hospitali ya Hindu Mandal, alikokuwa amelazwa. Takadiri, alimesema kuwa mazishi ya Hudu yatafanyika leo kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam.  Alisema kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na tatizo la ini na figo kutofanya...

 

10 years ago

Vijimambo

HAMIS KIYUMBU AMIGOLAS AZIKWA MAKABURI YA KISUTU

0 Mwili wa Marehemu Hamis Kayumbu Amigolas  akiwekwa kwenye gari mara baada ya kutolewa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti Hospitali ya taifa ya Muhimbili jana tayari kwa mazishi ambayo yalifanyika jana arlasiri kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam ambapo wanamuziki , ndugu  jamaa na marafiki mbalimbali pamoja na waombolezaji wengine walijitokeza kwa ajili ya kumzika marehemu Amigolas ambaye aliwahi kutambana bendi ya African Stars Twanga Peteta kabla ya kweda Ruvu Stars Band ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAJONZI YATAWALA HOSPITALI YA WILAYA YA MAFINGA BAADA YA KUWASILI MIILI YA WALIOPATA AJALI LEO

Simanzi katika Hospitali ya Wilaya ya Mafinga wakati maiti zilizopatikana kwenye ajali mbaya iliyotokea mapema leo asubuhi,maeneo ya Changarawe,Mafinga Mkoani Iringa,zikiwasili. Zaidi ya 30 wamepoteza maisha katika ajali hiyo iliyohusisha Lori la Mizigo na Basi la abiria la Kampuni ya Majinja lililokuwa likitokea Mkoani Mbeya kuelekea jijini Dar es salaam.Picha zote na Mdau Baraka Chibiriti.Ni majonzi kwa kila alefika kwenye hospitali hii. Sehemu ya Wasamalia na Mafundi waliosaidia kazi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Masha afikishwa mahakamni Kisutu leo

Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya kukamatwa jana jioni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani