MAJUTO AKUSANYA WANAWE KWENYE FILAMU
Stori: Imelda Mtema MCHEKESHAJI maarufu Bongo, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’ ameamua kuwakusanya wanawe wote na kuigiza nao katika filamu yake mpya. Mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’. Akizungumzia sinema hiyo inayokwenda kwa jina la Chungu Kimoja, alitiririka: “Mwanzoni nilijua mwanangu Hamza pekee ndiye anayeweza kumbe familia nzima bwana, kuanzia Mudi,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies26 Nov
JB: King Majuto Atacheza Filamu Yangu
STAA wa filamu Bongo Jacob Stephen maarufu kama JB, amesema licha ya muigizaji mkongwe Amri Athumani ‘King Majuto’ kudai kuiweka kando sanaa ili afanye mambo ya kumpendeza Mungu baada ya kurejea kutoka hija huko Makka, atafanya hivyo baada ya kucheza kazi atakayoiandaa.
Akizungumza na gazeti hili, alisema yeye ni kama mtoto kipenzi wa Mzee Majuto, hivyo hawezi kukataa ombi lake kwa kuwa hata yeye anataka kustaafu kuigiza baada ya kufanya filamu moja na muigizaji huyo aliyejipatia umaarufu...
10 years ago
Bongo Movies27 Apr
Baada ya Filamu 100 nitapumzika- King Majuto
Mchekeshaji mkongwe, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’ amefunguka na kuweka wazi project yake mpya ya kuandaa filamu 100.
Majuto ameiambia Bongo5 kuwa amefanya hivyo ili baada ya kumaliza kazi hizo apate muda wa kupumzika wa kutosha.
“Yeah na shoot na edit halafu nahifadhi, zikifika 100 nakaa na kupumzika nakula bata, makampuni kama yakihitaji filamu mimi nawapa, mpaka sasa nipo ya sita, nyingi itakuwa nazi-shoot huku Tanga,” alisema Mzee Majuto.
10 years ago
Bongo Movies21 Apr
Filamu Mpya: Wolper , King Majuto Ndani ya ‘Huba’
Filamu mpya iliyochezwa na wakali wa Bongo Movies Wolper, Mzee Majuto na wengine wengi, inayokwenda kwa jina la HUBA kuingia sokoni wiki hii, 23.04.05.
Filamu ya Huba ni filamu inamzungumzia kijana alieachiwa mali na wazazi wake na yeye kuanza kuzitumia vibaya,kijana huyo alikua anaishi nyumba moja na babu yake ambaye ndio mzee Majuto.
Kijana alikua na tabia ya kubadili wasichana ndio akazama kwenye penzi la Wolper na kuzani Wolper anapenzi la dhati kwake kumbe amefata pesa tu.
Hii sio...
10 years ago
Bongo Movies05 Feb
JB na Ray Kucheza Filamu Wakiwa Kama Watoto wa King Majuto
Ndani ya mwaka huu panapo majaliwa, tutajionea filamu kali kutokakwa wakali wa filamu wa hapa Bongo, Jacob Stephen ‘JB’,Vicent Kigosi ‘Ray’na King Majuto.
Akidokeza kuhusu ujio huo, JB alisema kwenye filamu hiyo yeye na Ray watacheza kama watoto wa King Majuto na kwasasa wanatafuta mwigizaji wa kike ili mpango mzima ukamilike.
“Panapo uzima tutakuwa na filamu ya pamoja na king majuto na mwigizaji mmoja wa kike ambaye bado tunamtafuta.mimi na ray tutakuwa watoto wa king”. <span...
11 years ago
Bongo526 Jul
Bongo Movies: Majuto, Hemedy, Johari watoa filamu mpya (Picha)
9 years ago
Bongo520 Oct
Baada ya kutoka Hijja: Majuto hafanyi tena filamu za aina hii
11 years ago
GPLMZEE MAJUTO AWAALIKA WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WAKE
10 years ago
GPLMZEE MAJUTO ADAIWA KUZAMA KWENYE PENZI LA MJUKUU WAKE
10 years ago
Bongo Movies28 Feb
Picha: JB ,Richie na Mzee Majuto Wakiwa Kwenye Tamasha la Amani-Mwanza
Hizi ni baahi ya picha za wasanii, Jacob Stepeh ‘JB’, Single Mtambalike ‘Richie’ , Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ na Mzee Matuto wakiwa kawenye tamasha la Amani jiji Mwanza leo hii, ambapo mbali na kuombea amani kwenye nchi yetu, tamsha hili linabeba ujumbe mzito kukemea mauaji na watu walemavu wa ngozi (Albino).