Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makada tisa wajitokeza uspika CCM

Makada tisa wa CCM wamejitokeza kuwania uspika wa Bunge la Kumi na Moja linalotarajiwa kuanza wiki ijayo, akiwamo aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa, Samuel Sitta.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Makada tisa CCM wajitosa kumrithi Filikunjombe

Wanachama tisa wa CCM wamejitosa kuwania kuteuliwa kugombea ubunge wa Jimbo la Ludewa mkoani Njombe ambalo uchaguzi wake uliahirishwa baada ya aliyekuwa mgombea kupitia chama hicho, Deo Filikunjombe kufariki dunia kwa ajali ya helikopta.

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE WAWILI WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YA URAIS CCM ZANZIBAR,MAKADA WAFIKIA 26

-WALIOREJESHA FOMU WAFIKIA WANNE

NA ANDREW CHALE, ZANZIBAR.

WANAMAMA wawili  wamejitokeza leo 24 Juni kuchukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar  kupitia tiketi ya Chama  Cha Mapinduzi CCM.

Mwanamama wa kwanza ni Husna Attai Masoud aliwasili viwanja vya Afisi Kuu ya CCM -Zanzibar  zilizopo eneo la  Kisiwandui majira ya saa Nne akiwa amesindikizwa na wapambe wake watano wote  Wanamama akiwemo dereva aliyewaendesha na

kisha kupanda hadi gorofa ya pili kwa Katibu wa Idara ya Organization...

 

9 years ago

CCM Blog

WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA USPIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

 Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuchukua fomu za kuwania uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbele ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib
 Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akizungumza na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya uspika wa bunge la...

 

9 years ago

Mwananchi

CCM yapandisha joto la uspika

Wakati Kamati Kuu ya CCM ikikutana leo jijini Dar es Salaam kupitisha majina matatu kati ya 23 ya wanaowania uspika, joto la kuwania nafasi hiyo linazidi kupanda .

 

9 years ago

Mwananchi

Anayetaka uspika ruksa - CCM

Wakati makada wa CCM, wakionyesha nia ya ‘kimya kimya’ kuwania nafasi ya kiti cha Spika wa Bunge la 11, chama hicho kimesema anayetaka nafasi hiyo ruksa kujipitisha kwa wabunge kuomba kura.

 

10 years ago

Mwananchi

Makada CCM wamvaa JK

Makada wawili wa CCM wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kuhakikisha kabla ya Uchaguzi Mkuu, anaondoa makundi ndani ya chama hicho, ambacho kinakabiliwa na kazi ngumu ya kumpata mgombea wake bila ya kutokea mpasuko.

 

9 years ago

CCM Blog

WABUNGE WA CCM WAENDELEA KUCUKUA FOMU ZA USPIKA



Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu (kulia)akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib
 Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu akionesha fomu za kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa waandishi wa habari waliojitokeza kwenye ofisi ndogo za CCM Lumumba.
 Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu...

 

9 years ago

GPL

KAMATI KUU CCM YAPITISHA MAJINA 3 YA USPIKA

KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi leo imewapitisha  Ndugu Job Ndugai, Ndugu Abdullah Ali Mwinyi na Dk. Tulia Ackson Mwansasu kugombea nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kikao cha kupitisha majina hayo kimefanyika katika ukumbi wa makao makuu ya chama hicho mkoani Dodoma kikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye ni Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete.… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makada CCM waonya kubebana

BAADHI ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamesema watamkataa mgombea yeyote wa urais atakayebebwa au kupata upendeleo wa baadhi ya vigogo au kundi lolote kwa maslahi binafsi. Wakizungumza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani