Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Anayetaka uspika ruksa - CCM

Wakati makada wa CCM, wakionyesha nia ya ‘kimya kimya’ kuwania nafasi ya kiti cha Spika wa Bunge la 11, chama hicho kimesema anayetaka nafasi hiyo ruksa kujipitisha kwa wabunge kuomba kura.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Slaa: Kiongozi anayetaka kuondoka CHADEMA ruksa

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema kuwa mbunge au diwani anayetaka kuondoka CHADEMA milango iko wazi, kwa sababu hawawezi kumvumilia kiongozi msaliti wa...

 

9 years ago

Mwananchi

CCM yapandisha joto la uspika

Wakati Kamati Kuu ya CCM ikikutana leo jijini Dar es Salaam kupitisha majina matatu kati ya 23 ya wanaowania uspika, joto la kuwania nafasi hiyo linazidi kupanda .

 

9 years ago

Mwananchi

Makada tisa wajitokeza uspika CCM

Makada tisa wa CCM wamejitokeza kuwania uspika wa Bunge la Kumi na Moja linalotarajiwa kuanza wiki ijayo, akiwamo aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa, Samuel Sitta.

 

9 years ago

GPL

KAMATI KUU CCM YAPITISHA MAJINA 3 YA USPIKA

KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi leo imewapitisha  Ndugu Job Ndugai, Ndugu Abdullah Ali Mwinyi na Dk. Tulia Ackson Mwansasu kugombea nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kikao cha kupitisha majina hayo kimefanyika katika ukumbi wa makao makuu ya chama hicho mkoani Dodoma kikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye ni Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete.… ...

 

9 years ago

CCM Blog

WABUNGE WA CCM WAENDELEA KUCUKUA FOMU ZA USPIKA



Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu (kulia)akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib
 Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu akionesha fomu za kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa waandishi wa habari waliojitokeza kwenye ofisi ndogo za CCM Lumumba.
 Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu...

 

9 years ago

Michuzi

WABUNGE WA CCM WAAMUA KWA PAMOJA NAFASI YA USPIKA NI JOB NDUGAI


 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiongea na waandishi wa habari mara baada ya Wabunge wa CCM kupitisha jisha la Spika.
Katibu wa NEC (CCM) Itikadi na Uenezi ambaye pia ni mbunge wa Mtama, Nape Nnauye alisema “Kamati ya Wabunge wote wa CCM imekamilisha kazi yake ya kwanza kuchambua na kupitisha moja kati ya majina matatu yaliyoteuliwa na Kamati Kuu.  “Kama tulivyoona wagombea wawili walijitoa, hivyo Job Ndugai amepitishwa kwa kauli moja kugombea nafasi ya uspika. Tunamuombea...

 

9 years ago

Michuzi

CCM YAANZA KUTOA FOMU ZA KUWANIA USPIKA KWA WANACHAMA WAKE

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatangaza Ratiba ya Uchukuaji Fomu za kuomba kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wana-CCM wote wenye sifa husika.  
Ratiba ya mchakato huo ni kama ifuatavyo;- 
i. Wana-CCM wasio Wabunge wanaoomba ridhaa ya CCM kugombea Uspika wanatakiwa kuchukua fomu kuanzia Novemba 11, 2015 saa Sita Kamili mchana katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam na kuzirejesha Novemba 12, 2015 kabla ya saa...

 

10 years ago

Habarileo

Midahalo ya watangaza nia CCM sasa ruksa

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaWATANZANIA sasa watapata fursa pana zaidi ya kufahamu kwa undani wanachama wa CCM waliotangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho, baada ya Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana, kuridhia midahalo kwa wanachama hao.

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM yaanza mchakato wa kusaka wenye sifa za kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

CCM

Muonekano wa jengo la Ofisi ndogo ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatangaza Ratiba ya Uchukuaji Fomu za kuomba kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wana-CCM wote wenye sifa husika. 

Ratiba ya mchakato huo ni kama ifuatavyo;-

Wana-CCM wasio Wabunge wanaoomba ridhaa ya CCM kugombea Uspika wanatakiwa kuchukua fomu kuanzia Novemba 11, 2015 saa Sita Kamili mchana katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani