Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makaidi kuwania urais kupitia Ukawa

Wakati vyama vingine vinavyounda Ukawa, vikiendelea na mchakato wa kutafuta jina litakalopendekezwa kuchukua kiti cha urais, Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Dk Emmanuel Makaidi amesema, tayari chama chake kimeshapendekeza jina lake kuwa miongoni mwa vigogo watakaoshindanishwa kwenye kinyang’anyiro hicho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Dk Asha-Rose Migiro Ajitosa Kuwania Urais Kupitia CCM......Samuel Sitta Kurudisha Fomu ya Urais Leo


WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro leo anatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aidha, taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa Waziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kuwa atachukua fomu si za kweli kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya CCM.Migiro, ambaye atachukua fomu kwenye makao makuu wa CCM mjini Dodoma saa tisa mchana, atakuwa mwanamke wa nne kuchukua fomu...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa achukua fomu ya kuwania urais kupitia Chadema

>Kada mpya wa Chadema, Edward Lowassa jana alichukua tena fomu ya kuwania urais lakini safari hii si kwa tiketi ya CCM, katika hafla ambayo ilishuhudiwa na umati mkubwa wa watu uliosababisha Mtaa wa Ufipa kufungwa kwa saa tatu.

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA ARUDISHA FOMU ZA KUWANIA URAIS KUPITIA CHADEMA

 Mtangaza nia ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiwapungia maelfu ya wafuasi na wapenzi wa Chama hicho, wakati alipowasili kwenye Ofisi ya Makao Makuu ya Chama hicho, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Mh. Lowassa alifika ofisini hapo kurudisha fomu za kuomba ridhaa ya Chama hicho, kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
  Mtangaza nia ya kuwania nafasi ya...

 

10 years ago

GPL

DK. KAMANI NAYE ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS KUPITIA CCM

MBUNGE wa Jimbo la Busega (CCM), ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani (pichani) leo ametangaza nia ya kuwania Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa jijini Mwanza. Dk.Kamani ametangaza nia katika mkutano wake uliofanyika kwenye Ukumbi wa Gandhi Memorial uliopo Nyamagana Jijini Mwanza.

 

5 years ago

CCM Blog

DK HUSSEIN MWINYI ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS KUPITIA CCM ZANZIBAR

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, katika Serikali ya Awamu ya Tano, Dkt. Hussein Mwinyi akichukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja.

 

5 years ago

CCM Blog

SHAMSHI VUAI NAHODHA ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS ZANZIBAR KUPITIA CCM

Waziri Kiongozi Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha amechukua fomu kuomba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimpitishe agombee urais Zanzibar wakati wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

 

5 years ago

CCM Blog

MOHAMED HIJA MOHAMED ACHUKA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM

Aliyekuwa Naibu Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na Mwambata Ubalozi India Mohamed Hija Mohammed, amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika Ofisi kuu ya CCM Zanzibar, ambapo sasa anakuwa mtu wa 8 kuchukua fomu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani