Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKALA ATOA MAJIBU YA MATATIZO YA MAJI MAJIMBO YA MSALALA NA MBOGWE

Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla akipokea maelezo ya kisima Wilayani Mbogwe. Tayari Wizara ya Maji imeshatoa shilingi milioni 200 kwa ajili ya upanuzi wa miundombinu ya maji wilayani hapo kutimiza ahadi ya Waziri wa Maji Prof. Maghembe. Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla akiwaonesha jambo, Mbunge wa Mbogwe, Mkuu wa Mkoa wa Geita, RAS wa Geita kabla ya hutuba yake. Mbunge wa Mbogwe, Mh. Augostino Masele akiwahutubia wananchi wa Mbogwe namna ambavyo yeye kwakushirikiana na Mbunge...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Majibu ya Mwigizaji Rose Ndauka Baada ya Kuhusishwa na Matatizo ya Ndoa ya Shetta

Baada ya kuenea kwa taarifa kuwa ndoa ya msanii wa bongo fleva, Shetta  imevunjika baada ya taarifa kumfikia mke wake kuwa  msanii huyo anamahusiano na staa mrembo wa Bongo Movies, Rose Ndauka.

Akijibu shutuma hizo, Rose Ndauka  alijibu haya alipoulizwa na Soudy Brown wa Clouds FM kwenye kipindi cha XXL.

  “Kwanza kitu ambacho ningependa kumuambia asipende kusikiliza watu.. la pili kitu chochote ambacho kinahusiana na mahusiano sio vizuri kupeleka kwenye public… hata ingekuwa ni ukweli...

 

10 years ago

Dewji Blog

MAKALA kutoka kwa Maganga One: Matatizo ya ndoa na Umri

whatever-works

MWANAUME MKUBWA ANAYEOA MSICHANA MDOGO

Imekuwa ni kawaida katika jamii za kiafrika wanaume wenye umri mkubwa sana kuoa wasichana wenye umri mdogo ambao wanaweza hata kuwazaa.Katika hili imekuwa ni kama fashion kwa wasichana kiasi wamekosa hata zile haya walizokuwa nazo wazazi wetu enzi za zamani.

Wasichana wengi wametokea kujidumbukiza kuolewa na mababa wakubwa sana hari si kuwa wanapenda kuolewa na wazee waliowazidi umri kwa kiasi kikubwa.Wachache kati yao wanapenda kuolewa na watu wazima...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOSI MAKALA ATEMBELEA ENEO LA MRADI MKUBWA WA MAJI WA MWANGA/KOROGWE.

Naibu Waziri wa Maji ,Amos Makala akitembelea eneo la mradi mkubwa wa Maji unaojengwa katika kijiji cha Kirya wilayani Mwanga.Naibu waziri wa Maji Amosi Makala akizungumza jambo na meneja mshauri wa mradi Sharif Saleh mara baada ya kukagua mitambo maalumu kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa mradi huo.Naibu waziri wa Maji Amosi Makala akifurahia jambo na meneja mshauri wa mradi mkubwa wa maji wa Mwanga Korogwe Sharif Salehmara baada ya kuangalia maadalizi ya ujenzi wa mradi huo.
PICHA ZAIDI...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI ATOA SIKU 90, KWA MKANDARASI ANAESAMBAZA BOMBA LA MAJI MRADI WA MLANDIZI

Waziri wa maji ,Jumanne Maghembe (wa kwanza kulia) akizungumza na wakandarasi wanaojenga bomba la maji la Mlandizi Kimara Januari 20, 2015 mkoani Pwani wakati alipotembelea miradi ya maji inayosimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na maji Taka (DAWASA), kwalengo la kupata tathimini ya mradi huo ulipofikia sasa.Waziri wa maji Jumanne Mghembe (wa pili kulia) akiwa ameongozana na meneja mradi Pintu Dutta (watatu kulia) wakati akikagua maendeleo ya mradi wa kituo cha kusafisha maji cha ruvu juu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Maji atoa siku 90 kwa Mkandarasi Megha Engineering anaesambaza bomba la maji mradi wa Mlandizi Kimara

001

Waziri wa maji Jumanne Maghembe (wa kwanza kulia) akizungumza na wakandarasi wanaojenga bomba la maji la Mlandizi Kimara Januari 20, 2015 mkoani Pwani wakati alipotembelea tembelea miradi ya maji inayosimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na maji Taka (DAWASA),  kwa lengo la kupata tathimini ya mradi huo ulipofikia sasa.(Habari Picha na Philemon Solomon).

WAZIRI wa maji Jumanne Maghembe ametoa siku 90, kwa mkandarasi Megha Engineering Infrastructure Limited  anaesambaza bomba la maji mradi wa...

 

9 years ago

Habarileo

Zitto:ACT Wazalendo ina majibu kero ya maji

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema serikali itakayotokana na Chama hicho baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu itaanzisha mfuko wa wakala wa maji vijijini kwa ajili ya kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji safi na salama kwa uhakika.

 

10 years ago

GPL

LUDEWA; AFYA, MAJI SAFI NA MAWASILIANO NI MATATIZO SUGU

Na Stephano Mango, Ludewa
Ludewa ni moja kati ya wilaya tano zinazounda mkoa mpya wa Njombe. Upande wa Kaskazini, Ludewa inapakana na Wilaya ya Njombe Vijijini na Wilaya ya Makete. Kusini Mashariki kuna Mkoa wa Ruvuma na Kusini Magharibi inapakana na Nchi ya Malawi na Ziwa Nyasa. Mheshimiwa Deogratius Haule Filikunjombe. Pia Ludewa ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Deogratius Haule Filikunjombe kwa tiketi ya...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATOA SAA 30, ATAKA KUPATA MAJIBU KUHUSU KIWANDA CHA NYAMA MBEYA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ametoa saa 30 na kutaka kupatiwa majibu ni kwa nini maelekezo aliyotoa kuhusu kiwanda cha kusindika nyama cha Mbeya hayajafanyiwa kazi.
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Ijumaa, Agosti Mosi, 2014) wakati akizindua Kongamano la siku tatu la Uwekezaji la Mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya la mwaka 2014 ambalo limeanza leo kwenye ukumbi wa Benjamini Mkapa jijini Mbeya.
“Mbeya inaweza kuwa na fursa kubwa ya viwanda vya usindikaji nyama, unga wa mahindi ili kuongeza thamani ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani