MAKALA kutoka kwa Maganga One: Matatizo ya ndoa na Umri
MWANAUME MKUBWA ANAYEOA MSICHANA MDOGO
Imekuwa ni kawaida katika jamii za kiafrika wanaume wenye umri mkubwa sana kuoa wasichana wenye umri mdogo ambao wanaweza hata kuwazaa.Katika hili imekuwa ni kama fashion kwa wasichana kiasi wamekosa hata zile haya walizokuwa nazo wazazi wetu enzi za zamani.
Wasichana wengi wametokea kujidumbukiza kuolewa na mababa wakubwa sana hari si kuwa wanapenda kuolewa na wazee waliowazidi umri kwa kiasi kikubwa.Wachache kati yao wanapenda kuolewa na watu wazima...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-i0EVkPPA-hI/VJXDzdXZcnI/AAAAAAAA3AE/CzGVN7QjUfg/s72-c/whatever-works.jpg)
MATATIZO YA NDOA NA UMRI
![](http://4.bp.blogspot.com/-i0EVkPPA-hI/VJXDzdXZcnI/AAAAAAAA3AE/CzGVN7QjUfg/s1600/whatever-works.jpg)
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-i0EVkPPA-hI/VJXDzdXZcnI/AAAAAAAA3AE/CzGVN7QjUfg/s1600/whatever-works.jpg?width=640)
MATATIZO YA NDOA NA UMRI
MWANAUME MKUBWA ANAYEOA MSICHANA MDOGO Imekuwa ni kawaida katika jamii za kiafrika wanaume wenye umri mkubwa sana kuoa wasichana wenye umri mdogo ambao wanaweza hata kuwazaa.Katika hili imekuwa ni kama fashion kwa wasichana kiasi wamekosa hata zile haya walizokuwa nazo wazazi wetu enzi za zamani. Wasichana wengi wametokea kujidumbukiza kuolewa na mababa wakubwa sana hari si kuwa wanapenda kuolewa na wazee waliowazidi umri kwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3LuVWa-Fd0A8xhSs188F1iSWIRkdOt03g5XCCykBwIXwndMOEwYypz9HDUjxos54z*duMZ0QL2q7KSgJNSH2RU3I/mahaba.jpg)
NDOA SIYO RAHA PEKEE, JIPANGE KWA MATATIZO PIA! - 3
NIMEFURAHI tumekutana tena hapa katika All About Love, safu ambayo inatengeneza maisha ya wengi kuhusu uhusiano wao. Bila shaka hata wewe umebadilika sana baada ya kuwa mdau wa kona hii. Hata hivyo, wale ambao ndiyo kwanza mmeanza kusoma ukurasa huu, mnatakiwa kujivunia sana maana ni sehemu sahihi zaidi ya kujifunza kuhusu uhusiano na maisha. Tunaangalia kuhusu ndoa, leo ikiwa ni sehemu ya mwisho. Je, unawaza nini katika...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yKvrXx6dvuSlqgMyd*ZM2pyxpPgDOGY5GDZmAoYt***5udlTzbLeZQ*UEHBykX8lDbEfkHRAkmKhUzwPPd5wPd6/mahaba.jpg)
NDOA SIYO RAHA PEKEE, JIPANGE KWA MATATIZO PIA!
VIJANA wengi wa sasa wanatamani kuingia kwenye ndoa wakiwa na mitazamo mbalimbali; mingi mizuri. Nasema hivyo nikimaanisha kuwa, wanaamini wakiwa kwenye ndoa, watatimiza ndoto zao za muda mrefu. Hupiga picha kuhusu idadi ya watoto watakaozaa, namna watakavyowasomesha na jinsi ambavyo familia itakuwa yenye furaha. Kifupi wanafikiria zaidi kuhusu mambo ambayo yatawafurahisha. Kamwe hawapati muda wa kufikiria namna ya kukabiliana...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ETTd9*7yfBBGQ7lDItFcuepw*xyiHS638JVTUlS4oi5zwE*zK5BG1kJC7Jbb4fgXKSVY5T1OZlzoAUT9Qct0XyG57fm9hw4H/mahaba.jpg)
NDOA SIYO RAHA PEKEE, JIPANGE KWA MATATIZO PIA! - 2
NATAMANI kuona maisha ya kimapenzi ya vijana wa sasa yakiwa hayana migogoro. Ni furaha yangu kuona vijana wakifanikiwa katika kazi zao na maisha yao kwa ujumla. Maisha bora au utaratibu mzuri wa maisha unatokana na uhusiano mwema wa mhusika na mwenzake.Aliyegombana na mpenzi wake usiku uliopita, siku yake huwa nzito sana kazini. Kila anachokifanya hukumbuka ugomvi wa usiku ulivyokuwa. Kama mtu ataondoka nyumbani akiwa hana...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-g3fkfqmzjBA/VPN81rBbEBI/AAAAAAAHG0o/--NlsHTonD8/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: MKE ASIYE WA NDOA NA MTOTO WA NJE YA NDOA HAWARITHI KISHERIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-g3fkfqmzjBA/VPN81rBbEBI/AAAAAAAHG0o/--NlsHTonD8/s1600/law_5.jpg)
Kumekuwepo na utata mkubwa kuhusu urithi wa mali za marehemu hasa inapotokea kuwa marehemu alikuwa na mke zaidi ya mmoja na hapohapo watoto wanaotokana na mama tofauti. Tumeshashuhudia magomvi makubwa misibani lakini pia tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia utitiri wa mashauri kuhusu mkanganyiko wa mali za marehemu ambaye familia yake ni ya watoto wanatokana na mama tofauti. Kutokana na hayo kuna umuhimu mkubwa wa...
9 years ago
Mwananchi04 Sep
Matatizo ya ujauzito yanayoendana na umri
Kwa miaka mingi, wataalamu wengi wa afya ya uzazi bado wanaamini miaka 20 hadi 35 ndio umri sahihi kushika mimba na kujifungua.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8tRtbUJ3HO4/VN0QOK6LUmI/AAAAAAAHDYM/pbg04cUgsOM/s72-c/download.jpeg)
MAKALA YA SHERIA: KISHERIA, MAHUSIANO KATI YA MME NA MKE KWA MIAKA MIWILI NI NDOA
![](http://1.bp.blogspot.com/-8tRtbUJ3HO4/VN0QOK6LUmI/AAAAAAAHDYM/pbg04cUgsOM/s1600/download.jpeg)
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, zipo aina nyingi za ndoa. Pamoja na kuwa na aina nyingi za ndoa, ndoa hizi tunaweza kuzigawa katika makundi makuu mawili. Kwanza, ndoa za serikali(civil marriage) na Pili ni ndoa za kimila(customary marriage).
Ndoa za serikali ni zile ndoa zinazofungwa kwa mkuu wa Wilaya, Msajili wa ndoa pamoja na katika Ofisi nyingine za serikali kama Ubalozini n.k.
Ndoa za kimila ni zile ndoa zinazofungwa kulingana na taratibu za kabila la wahusika; kwa mfano...
11 years ago
MichuziMAKALA ATOA MAJIBU YA MATATIZO YA MAJI MAJIMBO YA MSALALA NA MBOGWE
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania