WAZIRI MKUU ATOA SAA 30, ATAKA KUPATA MAJIBU KUHUSU KIWANDA CHA NYAMA MBEYA
![](http://2.bp.blogspot.com/-jUHZg-gGJ4c/U9t-VNg6LLI/AAAAAAAF8PM/LUolV1SNzl4/s72-c/IMG_4991.jpg)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ametoa saa 30 na kutaka kupatiwa majibu ni kwa nini maelekezo aliyotoa kuhusu kiwanda cha kusindika nyama cha Mbeya hayajafanyiwa kazi.
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Ijumaa, Agosti Mosi, 2014) wakati akizindua Kongamano la siku tatu la Uwekezaji la Mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya la mwaka 2014 ambalo limeanza leo kwenye ukumbi wa Benjamini Mkapa jijini Mbeya.
“Mbeya inaweza kuwa na fursa kubwa ya viwanda vya usindikaji nyama, unga wa mahindi ili kuongeza thamani ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pA-lQqd-nRQ/Xrr4cfzSb-I/AAAAAAALp-g/rPuNjYMdCmU15EQ3_D5_gFCdbJeAt8yzACLcBGAsYHQ/s72-c/8d0703c6-698b-4ef3-bf3f-4956c4121950.jpg)
KAIMU MSAJILI BODI YA NYAMA TANZANIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KIWANDA KIKUBWA CHA NYAMA CHA TANCHOICE
KAIMU Msajili Bodi Ya Nyama Tanzania Iman Sichalwe amefanya ziara ya kuangalia maendeleo ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha nyama cha Tanchoice Soga kibaha mkoani Pwani.
Kiwanda hicho ni kikubwa Afrika Mashariki na Kati kwenye Sekta ya mifugo na kutajwa kuwa mkombozi mkubwa kwa wadau wa sekta ya nyama Nchini Ambapo kitakuwa na uwezo wa kuchinja ng'ombe 1000 na mbuzi 4500 kwa siku.
Akiwa kiwandani haoo baada ya kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa kiwanda hicho,...
11 years ago
Habarileo02 Aug
Pinda ataka majibu ndani ya saa 30
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ametoa saa 30 na kutaka kupatiwa majibu, ni kwa nini maelekezo aliyotoa kuhusu kiwanda cha kusindika nyama cha Mbeya, hayajafanyiwa kazi.
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA JANET MBENE ATEMBELEA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIGAE CHA MKOANI MBEYA
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-curVweAhA70/VozSh8xvBVI/AAAAAAADEiQ/jUm-M1P_Mak/s72-c/maj22.jpg)
WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA TUMBAKU MKOANI RUVUMA NA KUWASIMAMISHA KAZI VIONGOZI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA SONAMCU
![](http://2.bp.blogspot.com/-curVweAhA70/VozSh8xvBVI/AAAAAAADEiQ/jUm-M1P_Mak/s400/maj22.jpg)
Akizungumza jana jioni(Jumanne, Januari 5, 2016), katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Ndogo ya Songea, wakati alipokutana na wakulima wa zao la tumbaku wa Wilaya ya Namtumbo, Wananchama wa Vyama Vya Ushirika vya Mkoa wa Ruvuma, viongozi wa Mkoa pamoja na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Edwin Ngonyani ambaye ni...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-p8dCG6fLPFs/Xu0TtfTjqVI/AAAAAAALusU/r0YxHdxoopU314_U5ygwDcadMDiJ89jLQCLcBGAsYHQ/s72-c/R-1AAA-768x512.jpg)
WAZIRI MHAGAMA ATOA MAAGIZO UJENZI WA MRADI KIWANDA CHA MACHINJIO YA KISASA WA NGURU KUKAMILIKA KWA WAKATI
![](https://1.bp.blogspot.com/-p8dCG6fLPFs/Xu0TtfTjqVI/AAAAAAALusU/r0YxHdxoopU314_U5ygwDcadMDiJ89jLQCLcBGAsYHQ/s640/R-1AAA-768x512.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/R-2AAA-1024x682.jpg)
Mkurugenzi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa...
10 years ago
Dewji Blog09 May
Waziri Mkuu akagua kiwanda cha viuadudu Kibaha
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiakagua mitambo ya kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu kinachojengwa na watalaamu kutoka Cuba, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watalaamu kutoka Cuba wanaojenga kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua kiwanda cha kutengeneza dawa za wadudu hasa Mbu, Kibaha mkoani Pwani Mei 8,...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-vJ6OK3r_us8/VEzYZrc3W5I/AAAAAAACtjY/r8YlG-gj2r8/s72-c/PG4A68321.jpg)
WAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEA KIWANDA CHA TREKTA POLAND
![](http://2.bp.blogspot.com/-vJ6OK3r_us8/VEzYZrc3W5I/AAAAAAACtjY/r8YlG-gj2r8/s1600/PG4A68321.jpg)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda atatuma wataalamu wa sekta ya kilimo ili waje kufuatilia suala la mahitaji ya trekta ili kuziba pengo la mahitaji yake nchini Tanzania.
Alisema lengo la Serikali la kuanzisha sera ya Kilimo Kwanza lilikuwa ni kuwasaidia wakulima kupata ruzuku ya pembejeo, mbegu bora, na dawa za mifugo ili waweze kuongeza ushalishaji.
“Kutokana na mkopo wa Serikali ya India, tulipata matrekta 1,846 ambayo hayakuchukua muda kuisha. Sasa hivi tunatafuta wabia wengine wa kutupatia...
10 years ago
BBCSwahili06 Jun
Mo Farah ataka majibu kuhusu kocha wake
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-WgpWioAR53w/UwYsSw-NyzI/AAAAAAAFOZE/16W4dETObpM/s72-c/unnamed.jpg)
MKUU WA CHUO CHA CBE ATOA UFAFANUZI KUHUSU HABARI ZILIZOCHAPISHWA KWA LENGO LA KUUPOTOSHA UMMA KUHUSU CHUO CHAKE
![](http://1.bp.blogspot.com/-WgpWioAR53w/UwYsSw-NyzI/AAAAAAAFOZE/16W4dETObpM/s1600/unnamed.jpg)
Na. Aron Msigwa – MAELEZO.
Mkuu wa chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Dar es salaam Prof. Emanuel Mjema amesema kuwa habari zilizoandikwa na kuchapishwa na gazeti moja la kila siku na baadhi ya mitandao ya kijamii...