NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA JANET MBENE ATEMBELEA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIGAE CHA MKOANI MBEYA
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akizungumza, mmoja waviongozi wa kampuni ya Marmo and Garnito Mines wakati alipokuwa kwenye ziara ya viwanda mkoani mbeya hivi karibuni.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara,Janet Mbene,akiangalia baadhi ya bidhaa zilizotengenezwa na kampuni ya Marmo and Garnito Mines kwa ajili ya matumizi mbalimbali
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara , Janet Mbene, akitembelea sehemu ya kiwanda cha Marmo anda Granito Mines.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboNaibu waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene atembeleakiwanda cha kutengeneza vigae cha mkoani mbeya
10 years ago
GPLNAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ,JANET MBENE ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene akiongozana na Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,alipofanya ziara kutembelea kiwanda hicho. Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,akimuonyesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene , sehemu ya kiwanda hicho ambayo ipo katika ukarabati tayari kwa ajili...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-kZWshGTqeZM/VOvY7bU4O1I/AAAAAAAHFfw/Zgb1L4YIGkQ/s72-c/unnamed%2B(30).jpg)
NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MHE JANET MBENE AKUTANA NA WAFANYABIASHARA LONDON
Naibu waziri wa viwanda na biashara Mheshimiwa Janet mbene katika siku yake ya kwanza ya ziara ya kikazi nchini Uingereza, amekutana na kufanya mazungumzo na wafanyabiashara na wawekezaji kupitia Chama chao cha East African Association, yenye lengo la kuvutia uwekezaji katika viwanda na kuongeza thamani bidhaa zinazozalishwa Tanzania. Mheshimiwa Mbene amewaeleza wafanyabiashara hao hatua zinazochukuliwa na Serikali ya Tanzania katika kuboresha mazingira ya kufanya biashara, hasa kwa kufanya...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-curVweAhA70/VozSh8xvBVI/AAAAAAADEiQ/jUm-M1P_Mak/s72-c/maj22.jpg)
WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA TUMBAKU MKOANI RUVUMA NA KUWASIMAMISHA KAZI VIONGOZI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA SONAMCU
![](http://2.bp.blogspot.com/-curVweAhA70/VozSh8xvBVI/AAAAAAADEiQ/jUm-M1P_Mak/s400/maj22.jpg)
Akizungumza jana jioni(Jumanne, Januari 5, 2016), katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Ndogo ya Songea, wakati alipokutana na wakulima wa zao la tumbaku wa Wilaya ya Namtumbo, Wananchama wa Vyama Vya Ushirika vya Mkoa wa Ruvuma, viongozi wa Mkoa pamoja na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Edwin Ngonyani ambaye ni...
5 years ago
MichuziWAZIRI WA KILIMO JAPHET HASUNGA ATEMBELEA KIWANDA CHA MBOLEA CHA MINJINGU MKOANI MANYARA
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-gy_kQ4tUKbw/VYNLxhpgTjI/AAAAAAAHhQ8/P0MR3qeH5lE/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA INDRA GANDHI NA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MATREKTA CHA NEW HOLLAND TIAT HUKO NEW DELHI
![](http://1.bp.blogspot.com/-gy_kQ4tUKbw/VYNLxhpgTjI/AAAAAAAHhQ8/P0MR3qeH5lE/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-yxDCsAMem-E/VYNLxq9wqrI/AAAAAAAHhRE/AGn6jBdM1g4/s640/unnamed%2B%25284%2529.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-d-1-E8YrF6c/U43WSLbVgXI/AAAAAAAFnYY/4ReeNUAbjW0/s72-c/1.jpg)
WAZIRI WA ULINZI AZINDUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIFAA VYA UJENZI CHA UTURUKI
![](http://2.bp.blogspot.com/-d-1-E8YrF6c/U43WSLbVgXI/AAAAAAAFnYY/4ReeNUAbjW0/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-1tjrqbHh3g4/U43Whfc8tvI/AAAAAAAFnYg/EephneFTKaI/s1600/2.jpg)
10 years ago
VijimamboNAIBU WAZIRI JANET MBENE AFANYA MKUTANO NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KATA YA ISOKO
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania