Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAIBU WAZIRI JANET MBENE AFANYA MKUTANO NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KATA YA ISOKO

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akipokea zawadi ya ungo kutoka kwa mwakilishi wa wasuka ungo wa bundali.Naibu waziri wa Viwanda na biashara na mgombea ubunge wa jimbo laileje mkoani Songwe, Janet Mbene akisalimiana na vijana waliotokeakumlaki katika kata ya isoko walayani hapo.Naibu waziri waviawnada na biashara na mgombea ubunge katika jimbo ileje mkoa wa Songwe,Janet Mbene akitembea huku mamamia ya watu wkimfuta nyuma mara baada ya kumalizika kwa mkutano wake na wajumbe wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MHE JANET MBENE AKUTANA NA WAFANYABIASHARA LONDON

Naibu waziri wa viwanda na biashara Mheshimiwa Janet mbene katika siku yake ya kwanza ya ziara ya kikazi nchini Uingereza, amekutana na kufanya mazungumzo na wafanyabiashara na wawekezaji kupitia Chama chao cha East African Association, yenye lengo la kuvutia uwekezaji katika viwanda na kuongeza thamani bidhaa zinazozalishwa Tanzania. Mheshimiwa Mbene amewaeleza wafanyabiashara hao hatua zinazochukuliwa na Serikali ya Tanzania katika kuboresha mazingira ya kufanya biashara, hasa kwa kufanya...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ,JANET MBENE ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene akiongozana na  Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,alipofanya ziara kutembelea kiwanda hicho. Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,akimuonyesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene , sehemu ya kiwanda hicho ambayo ipo katika ukarabati tayari kwa ajili...

 

10 years ago

Vijimambo

Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene atembeleakiwanda cha kutengeneza vigae cha mkoani mbeya

Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akizungumza, mmoja waviongozi wa kampuni ya Marmo and Garnito Mines wakati alipokuwa kwenye ziara ya viwanda mkoani mbeaya hivi karibuni. Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akizungumza, mmoja waviongozi wa kampuni ya Marmo and Garnito Mines wakati alipokuwa kwenye ziara ya viwanda mkoani mbeaya hivi karibuni.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara,Janet Mbene,akiangalia baadhi ya bidhaa zilizotengenezwa na kampuni ya Marmo and Garnito...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA JANET MBENE ATEMBELEA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIGAE CHA MKOANI MBEYA

 Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akizungumza, mmoja waviongozi wa kampuni ya Marmo and Garnito Mines wakati alipokuwa kwenye ziara ya viwanda mkoani mbeya hivi karibuni. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara,Janet Mbene,akiangalia  baadhi ya bidhaa zilizotengenezwa na kampuni ya Marmo and Garnito Mines kwa ajili ya matumizi mbalimbali  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara , Janet Mbene, akitembelea sehemu ya kiwanda cha Marmo anda Granito Mines.

 

9 years ago

Michuzi

Janet Mbene katika kampeni kata ya Malangali jimbo la Ileje

 Katibu wa CCM Wilaya ya Ileje mkoa songwe Hamida Mbogo akiwa jukwaani akinadi sera za CCM  juu ya mafiga matatu katika kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa chama hicho Janet Mbene Kikundi cha ngoma za asili kutoka kata ya Malangali kikitoa burudani kwa wanaCCM waliofika kusikiliza sera za mgombea wa Chama hicho wilaya ya Ileje Janet Mbene Mgombea ubunge wa chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe Janet Mbene akihutubia mamaia ya wakazi wa kata...

 

10 years ago

Michuzi

Ziara ya naibu waziri maji katika halmashauri ya Meru, kata ya Makiba leo

Naibu Waziri Maji,Mh. Amos Makalla akiongozana na ujumbe wake kutembelea Kata ya Makiba iliopo kwenye kijiji cha Valeska Wilayani Arumeru akiwa katika ziara ya Kikazi leo.Naibu Waziri Maji,Mh. Amos Makalla akisikiliza maelezo ya mradi wa maji toka kwa mmoja wa watendaji katika Kata hiyo.Kushoto ni Diwani wa Kata ya Makiba,Bi. Mwanaid Kimu.Naibu Waziri Maji,Mh. Amos Makalla akiangalia kisima cha maji katika kijiji cha Majengo kata ya Makiba.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

5 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Madini afanya mkutano na Wahariri wa Vyombo vya habari

  Naibu Waziri wa Madini, Mhe.Stanslaus Nyongo, akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari Nchini (hawapo pichani), leo katika Ofisi ndogo za Wizara hiyo Jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano mkubwa Wa Madini utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania kuanzia Februari 21 hadi 23, 2020. Baadhi ya Wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakimsikiliza Naibu Waziri wa Madini, Mhe.Stanslaus Nyongo wakati wa Mkutano wake na wahariri wa vyombo...

 

9 years ago

Vijimambo

JANET MBENE MALANGALI

kikundi cha ngoma za asili kutoka kata ya malangali kikitoa burudani kwa wanacahma wa Chama cha Mapinduzi CCM waliofika kusikiliza sera za mgombea wa Chama hicho wilaya ya Ileje Janet MbeneKatibu wa CCM Wilaya ya Ileje mkoa songwe Hamida Mbogo akiwa jukwaani akinadi sera za chama cha mapinduzi juu ya mafiga matatu katika kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa chama hicho Janet Mbene  Mgombea ubunge wa chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani