Janet Mbene katika kampeni kata ya Malangali jimbo la Ileje
Katibu wa CCM Wilaya ya Ileje mkoa songwe Hamida Mbogo akiwa jukwaani akinadi sera za CCM juu ya mafiga matatu katika kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa chama hicho Janet Mbene Kikundi cha ngoma za asili kutoka kata ya Malangali kikitoa burudani kwa wanaCCM waliofika kusikiliza sera za mgombea wa Chama hicho wilaya ya Ileje Janet Mbene Mgombea ubunge wa chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe Janet Mbene akihutubia mamaia ya wakazi wa kata...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMBUNGE MTEULE WA JIMBO LA ILEJE MKOANI SONGWE, MH JANET MBENE AWASHURU WANANCHI KWA KUMCHAGUA
Akizungumza na wakazi wa Ileje, Mbene alisema ushindi wa kura 27,583 aliopewa na wana Ileje dhidi...
9 years ago
VijimamboJANET MBENE MALANGALI
10 years ago
MichuziJanet Mbene akabidhi vitanda vaya kujifungulia vya thamani ya Milioni 30 ileje
10 years ago
MichuziMH JANETH MBENE AJITOSA KUWANIA JIMBO LA ILEJE
9 years ago
VijimamboMBENE AENDELEA NA KAMPENI IMBO LA ILEJE MKOANI MBEYA
10 years ago
VijimamboNAIBU WAZIRI JANET MBENE AFANYA MKUTANO NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KATA YA ISOKO
11 years ago
MichuziKAMPENI ZA CCM KATIKA KATA YA KIWANGWA NDANI YA JIMBO LA CHALINZE LEO
9 years ago
Dewji Blog17 Oct
NYALANDU AHUTUBIA WANANCHI: Ni katika kampeni Kata ya Ikhanoda jimbo la Singida Kaskazini, asema hakuna kulala mpaka kieleweke
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akihutubia wananchi wa kijiji cha Ikhanoda Jimbo la Singida Kaskazini wakati wa Mkutano wa Kampeni wa kujinadi na kumnadi Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli sanjari na Diwani wa Kata hiyo Hinga Mnyawi jana.
Nyalandu kihutubia mkutano kijiji cha ikhanoda.
Mmoja wa wabibi wa kijiji cha Ikhanoda akicheza mziki wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu.
Bibi: bibi akicheza mziki wakati wa...
9 years ago
Dewji Blog21 Sep
Janet Mbene ang’ara Songwe
Mgombea ubunge wa Chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe, Janet Mbene akihutubia mamaia ya wakazi wa kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Malangali.
Katibu wa CCM Wilaya ya Ileje mkoa Songwe, Hamida Mbogo akiwa jukwaani akinadi sera za chama cha mapinduzi juu ya mafiga matatu katika kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa chama hicho Janet Mbene.
Mgombea ubunge wa chama cha Mapinduzi katika Wilaya...