MBENE AENDELEA NA KAMPENI IMBO LA ILEJE MKOANI MBEYA
Mh Janet Mbene akicheza kwaya na wakazi wa Kata ya Kapelekesi wakati wa mikutano yake ya kampeni katika kata ya ilejeMh Janet Mbene mgombea Ubunge jimbo la Ileje akiasalimia na wakazi waisongole wakati akiwa njiani kuelekea kata za Bundari wakati wa kampeni za kugombea ubunge wa jimbo hilo.aliyekuwa mgombea ubunge katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi Marcelin Ndimbwa akimnadi mgombea ubunge wa ubunge wa ccm Janet Mbene
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziJanet Mbene katika kampeni kata ya Malangali jimbo la Ileje
9 years ago
VijimamboMAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOANI MBEYA
9 years ago
VijimamboMBUNGE MTEULE WA JIMBO LA ILEJE MKOANI SONGWE, MH JANET MBENE AWASHURU WANANCHI KWA KUMCHAGUA
Akizungumza na wakazi wa Ileje, Mbene alisema ushindi wa kura 27,583 aliopewa na wana Ileje dhidi...
9 years ago
VijimamboSIKU YA MWANAMKE WA ILEJE YAZINDULIWA RASMI MKOANI MBEYA
Naibu Waziri wa Viwanda an Biashara Janeth Mbene amezindua siku ya mwanamke wa Ileje ambayo...
10 years ago
Dewji Blog08 Aug
Benki ya Posta Tanzania, yasaidia shule za msingi wilayani Ileje mkoani Mbeya
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Janet Mmbene, (wapili kushoto), akipeana mikono na Meneja msaidizi wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, tawi la Tunduma, Teddy Msanzi, wakati wa hafla ya kukabidhi madawati yaliyotolewa kama msaada na benki hiyo, kusaidia shule mbili za msingi wilayani Ileje, mkoa wa Mbeya, hivi karibuni.
NA K-VIS MEDIA
Benki ya Posta Tanzania (TPB) kupitia tawi lake la Tunduma, imetoa msaada wa madawati 100 yenye thamani ya shilingi Milioni Tatu kwa shule mbili za...
10 years ago
MichuziMH JANETH MBENE AJITOSA KUWANIA JIMBO LA ILEJE
10 years ago
MichuziBayport Financial Services yazidi kuchanja mbuga, yazindua tawi la 80 wilayani Ileje, mkoani Mbeya
10 years ago
MichuziJanet Mbene akabidhi vitanda vaya kujifungulia vya thamani ya Milioni 30 ileje
9 years ago
GPLMAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOANI KIGOMA