Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH JANETH MBENE AJITOSA KUWANIA JIMBO LA ILEJE

  Naibu waziri wa Viwanda na biashara na mgombea ubunge wa jimbo la ileje mkoani Songwe, Janet Mbene akisalimiana na vijana waliotokea kumlaki katika kata ya isoko walayani hapo.   Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akipokea zawadi ya ungo kutoka kwa mwakilishi wa wasuka ungo wa bundali. Picha na Humphrey Shao. Naibu waziri wa  Viwanda na biashara na mgombea Ubunge katika jimbo la Ileje mkoa wa Songwe,Janet Mbene akitembea huku mamia ya watu wakimfuta nyuma mara baada ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Janet Mbene katika kampeni kata ya Malangali jimbo la Ileje

 Katibu wa CCM Wilaya ya Ileje mkoa songwe Hamida Mbogo akiwa jukwaani akinadi sera za CCM  juu ya mafiga matatu katika kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa chama hicho Janet Mbene Kikundi cha ngoma za asili kutoka kata ya Malangali kikitoa burudani kwa wanaCCM waliofika kusikiliza sera za mgombea wa Chama hicho wilaya ya Ileje Janet Mbene Mgombea ubunge wa chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe Janet Mbene akihutubia mamaia ya wakazi wa kata...

 

9 years ago

Vijimambo

MBUNGE MTEULE WA JIMBO LA ILEJE MKOANI SONGWE, MH JANET MBENE AWASHURU WANANCHI KWA KUMCHAGUA

MBUNGE mteule katika Jimbo la Ileje mkoani Songwe ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janet Mbene (CCM) amewashukuru wananchi wa jimbo hilo kwa kumpa kura za kishindo, madiwani na Dkt. Jonh Magufuli anayewania urais.Pia alisema, kilimo nacho atakipa kipaumbele hususani cha alizeti, kunde, choroko, dengu, mbaazi, soya , karanga zikiwemo njugu mawe kwa wingi kama mazao ya biashara.
 
Akizungumza na wakazi wa Ileje, Mbene alisema ushindi wa kura 27,583 aliopewa na wana Ileje dhidi...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI

Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mwanasheria wa siku nyingi, Emmanuel Tamila Makene (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kugombea kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika Oktoba 25 Mwakahuu nchini kote. Makene ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Kinondoni amechukua fomu hiyo leo, Ofisi za Chama Kinondoni Mkwajuni Dar es Salaam. Makene akisaini kitabu kabla ya kuchukua fomu hiyo leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni.

 Makene...

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Abdulaziz Ahmed ajitosa kuwania Ubunge Jimbo la Lindi Mjini

Na Ahmaid MMOW-Lindi 
Kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi oktoba mwaka huu,Mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Channel ten,Abdulaziz Ahmed leo Ametangaza nia yake ya kugombea ubunge katika jimbo la Lindi mjini katika uchaguzi mkuu ujao kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa,Abdulaziz ambae pia ni Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoani Lindi alisema kuwa amefikia uamuzi huo baada ya kujitathimini na kugundua...

 

10 years ago

Michuzi

WAKILI EMMANUEL TAMILA MAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI

Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wakili  wa siku nyingi, Emmanuel Tamila Makene (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kugombea kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika Oktoba 25 Mwakahuu nchini kote. Makene ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Kinondoni amechukua fomu hiyo leo, Ofisi za Chama Kinondoni Mkwajuni Dar es Salaam.Makene akisaini kitabu kabla ya kuchukua fomu hiyo leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni.

 Makene...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wandili wa SEMA ajitosa kuwania ubunge jimbo la Singida mjini kwa tiketi ya ACT

DSC00502

Mfanyakazi wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA mkoani Singida, Jeremiah Paul Wandili, (katikati) akitangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Singida mjini kupitia tiketi ya ACT Wazalendo. Kulia ni Mwakilishi wa mwenyekiti wa ACT Wazalendo mkoa wa Singida, Peter Mkenyi na kushoto ni Mratibu wa harakati za Wandili za kugombea jimbo Peter Lisu.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

KIJANA mfanyakazi wa Shirika lisilo la kiserikali la SEMA Singida Mjini, Jeremiah Paul Wandili...

 

10 years ago

Michuzi

Mtangazaji maarufu nchini Abdallah Idrissa Majura ajitosa kuwania ubunge jimbo la kawe


Mwandishi wa habari na mtangazaji maarufu nchini Abdallah Idrissa Majura (pichani) jana ameahidi kufanya mapinduzi ya michezo katika jimbo la kawe ambao utakuwa ni mfano kwa maeneo mengine na taifa kwa ujumla.Akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kurejesha fomu za kuomba kugombea ubunge jimbo la kawe kupitia chama cha mapinduzi, amesema endapo atapendekezwa na ccm kisha kuchaguliwa kuwa munge wa jimb hilo ataanza na michezo mitano ambayo ni soka, mpira wa kikapu,netiboli, wavu na...

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe. Janeth Mbene atembelea Ubalozi Mdogo wa Tanzania Dubai

Pichani juu na chini ni , ni Mhe. Mjenga akimkaribisha Mhe. Janeth Mbene ofisini kwake kwa mazungumzoNaibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janeth Mbene yupo ziarani Dubai. Katika ziara hiyo, Mhe. Mbene ameutembelea Ubalozi Mdogo wa Tanzania uliopo Dubai na kufanya mazungumzo na Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania. Aidha, Mhe. Mbene amepata maelezo ya kina kuhusu shughuli za Ubalozi Mdogo na Kituo cha Biashara.

Mkurugenzi wa Kituo cha Biashara Ndugu Ruhumbika, amemueleza Mhe. Mbene...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani