MAKALA YA SHERIA: UWEZEKANO WA KUMSHTAKI KWA JINAI ALIYEVAMIA ARDHI YAKO
![](http://1.bp.blogspot.com/-dI8dRi3oSbQ/VUcHkXf_ccI/AAAAAAAHVDg/g-SwY-wiAWk/s72-c/law_5.jpg)
Na Bashir Yakub.
Katika migogoro ya ardhi yapo mambo mengi ambayo hujitokeza. Yumkini hii yote huwa ni katika kusaka haki. Liko jambo moja ambalo ni muhimu watu kulijua hasa wale ambao tayari wamejikuta katika migogoro ya ardhi. Mara nyingi imekuwa ikitokea pale ambapo mtu fulani ana mgogoro wa ardhi na mtu mwingine kumwendea polisi na kumshitaki kwa jinai ya kuvamia ardhi yake( criminal trespass). Ni kweli jambo hili lipo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-FfVDU4FmPT4/Vo13rVOfqvI/AAAAAAAIQ9Q/7d8jEvTDf98/s72-c/download%2B%25281%2529.jpg)
MAKALA YA SHERIA: AINA ZA FIDIA UNAZOWEZA KULIPWA SERIKALI INAPOTWAA ARDHI YAKO.
![](http://2.bp.blogspot.com/-FfVDU4FmPT4/Vo13rVOfqvI/AAAAAAAIQ9Q/7d8jEvTDf98/s640/download%2B%25281%2529.jpg)
1.FIDIA YA ARDHI NI NINI...Fidia ...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XO38fqQ5MPY/VnMqe3N75GI/AAAAAAAINMI/nRAFxkRrhPc/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: JE KULEWA, KUTOKUWA NA AKILI TIMAMU NI KINGA BAADA YA KUTENDA JINAI
![](http://4.bp.blogspot.com/-XO38fqQ5MPY/VnMqe3N75GI/AAAAAAAINMI/nRAFxkRrhPc/s320/1.1774256.jpg)
Wote tunajua kuwa kila atendaye kosa sharti aadhibiwe. Na kuadhibiwa huko lazima kuwe kwa mujibu wa sheria. Pamoja na kuwa mtenda kosa hustahili adhabu bado watenda kosa hutofautiana hadhi. Hadhi hapa sio kuwa fulani ni mkuu wa mkoa au mkurugenzi na fulani ni mkulima wa kawaida kijijini Katanakya.
Hadhi ndio kama hizo zilizotajwa katika kichwa cha makala. Wapo watenda makosa lakini wakiwa na umri mdogo, wapo...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-CFDlbSxUzfw/VPjKepKPcEI/AAAAAAAHH-U/KfB8SBR_1YY/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: KUTOTOA MATUNZO YA MTOTO NI KOSA LA JINAI, HII NI NAMNA YA KUCHUKUA HATUA
![](http://1.bp.blogspot.com/-CFDlbSxUzfw/VPjKepKPcEI/AAAAAAAHH-U/KfB8SBR_1YY/s1600/law_5.jpg)
Kumekuwa na shida sana hasa kwa upande wa wanaume kuwatelekeza watoto. Mara nyingi wanaume ndio hutelekeza watoto kuliko wanawake. Zipo baadhi ya kesi zimeripotiwa zikihusisha wanawake kuwatelekeza watoto lakini hizi si nyingi kama ilivyo kwa wanaume. Hii ni kwasababu uwezekano wa mwanaume kumkimbia mtoto ni mwepesi kuliko mwanamke kumkimbia mtoto/watoto. Jambo hili ni baya na limeshakemewa na sheria mbalimbali. Nataka...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4wbVGLNcrhY/Vbk439CLI2I/AAAAAAAHsnc/vv_cpQ1byP0/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: NAMNA YA KUKATA RUFAA KESI ZA ARDHI
![](http://2.bp.blogspot.com/-4wbVGLNcrhY/Vbk439CLI2I/AAAAAAAHsnc/vv_cpQ1byP0/s640/1.1774256.jpg)
Rufaa ni hatua ya kisheria ambayo hufikiwa na mhusika katika shauri fulani iwapo hakurushishwa na maamuzi. Rufaa sio mpaka uwe umeshindwa kabisa, hapana. Yawezekana ukawa umeshinda kesi lakini hukuridhishwa na kiwango ulichoshinda.Kwa mfano uliomba wavamizi waondoke katika nyumba yako na hapohapo wakulipe fidia. Mahakama ikatoa hukumu kuwa umeshinda wavamizi waondoke katika nyumba yako lakini ikasema wasikulipe...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-HCsPqyAzjik/VkxSMWPy_gI/AAAAAAAIGhA/RFAhzzYhya0/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: MAMBO YA MSINGI KISHERIA KUHUSU UMILIKI WA ARDHI WA PAMOJA
![](http://3.bp.blogspot.com/-HCsPqyAzjik/VkxSMWPy_gI/AAAAAAAIGhA/RFAhzzYhya0/s320/1.1774256.jpg)
Ardhi inaweza kumilikiwa na mtu zaidi ya mmoja. Inaweza kuwa nyumba au kiwanja. Vyote hivi vinaweza kumilikiwa na mtu zaidi ya mmoja. Kumiliki ardhi kwa zaidi ya mtu mmoja sio lazima iwe kwa wanandoa. Inaweza kuwa ndugu , marafiki , kikundi cha watu kama wafanyabiashara, wana saccos, kikundi cha michezo na aina yoyote ya kikundi cha kimaendeleo. Umiliki wa ardhi kwa pamoja unatofauti na umiliki binafsi yaani umiliki...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RUgLk69J7eM/VNURpVFQ7RI/AAAAAAAHCRc/dIoatbIjG64/s72-c/download%2B(1).jpg)
MAKALA YA SHERIA: NJIA YA KISHERIA YA KUKUEPUSHA KUNUNUA ARDHI YENYE MGOGORO.
![](http://3.bp.blogspot.com/-RUgLk69J7eM/VNURpVFQ7RI/AAAAAAAHCRc/dIoatbIjG64/s1600/download%2B(1).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-r8NcjtiF2dw/VQ88OFd7QjI/AAAAAAAHMTc/afvl00bjtXI/s72-c/Rental-Property-Law.jpg)
MAKALA SHERIA:JE UNASUMBULIWA NA MGOGORO WA ARDHI? JUA SEHEMU YA KUPATA HAKI...
![](http://1.bp.blogspot.com/-r8NcjtiF2dw/VQ88OFd7QjI/AAAAAAAHMTc/afvl00bjtXI/s1600/Rental-Property-Law.jpg)
Kati ya hao wapo ambao migogoro imeanzia mikononi mwao na wengine wamerithi migogoro hiyo kutoka kwa wazazi au ndugu zao.
Yote kwa yote iwe mgogoro umeanzia mikononi mwako au umeurithi bado mgogoro ni mgogoro na lazima utafute jambo la kufanya ili kuumaliza. Nitakachoeleza hapa ni namna gani waweza kumaliza mgogoro wa ...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-AMlnyDtXb_s/VZmGQddu5II/AAAAAAAHnLo/Uv488u-7FeQ/s72-c/download.jpg)
MAKALA YA SHERIA: JE WAJUA MUDA WA HATI YA NYUMBA UKIISHA WAWEZA KUNYANGANYWA ARDHI?
![](http://3.bp.blogspot.com/-AMlnyDtXb_s/VZmGQddu5II/AAAAAAAHnLo/Uv488u-7FeQ/s1600/download.jpg)
Hati unayopewa ina muda maalum wa kuishi. Sio kweli kwamba ukishapata hati basi ndio umemaliza, hapana. Kama ilivyo kwa bidhaa nyingine au nyaraka nyingine kwa mfano leseni za kuendeshea vipando...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-CpDNB71nN_o/VSRQsn-JgzI/AAAAAAAHPjA/zAEFx3U5wvU/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: KISHERIA MKATABA WA PANGO, NA WA KUNUNULIA ARDHI WAWEZA KUTUMIKA KUPATIA MKOPO
![](http://2.bp.blogspot.com/-CpDNB71nN_o/VSRQsn-JgzI/AAAAAAAHPjA/zAEFx3U5wvU/s1600/1.1774256.jpg)
Sheria ya ardhi ni pana na ina mambo mengi. Kila nikipata nafasi huwa najitahidi kueleza japo machache ili watu waweze kuelewa masuala mbalimbali kuhusu ardhi. Ardhi ni rasimali nyeti mno na hivyo ni tatizo kubwa kuishi bila kujua mambo ya msingi na ya kisheria kuhusu ardhi. Kutokujua ni moja ya sababu inayopelekea umaskini wakati utajiri upo mikononi mwako na upande mwingine husababisha migogoro ya ardhi inayoongezeka...