Makamba Avunja rekodi ya mapokezi na wadhamini mkoani Iringa
Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM,Mh. January Makamba akiagana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, Bi Jesca Mambatavangu mara baada ya January kusaini kitabu cha wageni katika ofisi za Chama.
Mh. January Makamba akikabidhiwa fomu yenye majina ya wanachama waliomdamini na Mwenyekiti wa CCM wilya, Abeid Kiponza. Fomu hiyo in idadi ywa wanachama 630 waliojitokeza kumdhamini ikiwa ni kutoka wilaya ya Iringa Mjini na Kilolo.Mh. January Makamba akihutubia wananchi na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMAKAMBA AVUNJA REKODI YA MAPOKEZI NA UDHAMINI IRINGA
10 years ago
Dewji Blog21 Jun
Mapokezi ya Mh January Makamba Jiji la Mwanza akisaka wadhamini
Mh. January Makamba na Mkewe wakitembea pamoja na Wana CCM katika mitaa ya jijini Mwanza mara walipowasili katika jiji hilo kutafuta wadhamini.(Picha zote na John Sambila).
Mbunge wa Bumbuli, Mh. January Makamba ambaye anazunguuka mikoani kwa sasa kusaka wadhamini, jana alikua katika Jiji la Mwanza huku mamia ya wanachama na wakazi wa Mwanza walifurika katika ukumbi wa Nyanza kumsikiliza Mh January.
Makamba ametoa ahadi kwa wakazi wa Mwanza kuwa hataka kama hatofanikiwa katika Mchakato huu...
10 years ago
Dewji Blog19 Jun
Lowassa avunja rekodi ya kujizolea wadhamini 33,780 mkoa wa Kilimanjaro
Mh. Lowassa, aklipokea sehemu ya fomu zilizojazwa na wana CCM waliomhamini kwenye ofisi kuu za chama hicho mkoani Kilimanjaro Alhamisi J 18, 2015. (Pichan na K-VIS MEDIA).
Mkazi huyu wa Moshi, akiwa amejishika kichwa baaa ya kutoamini macho yake kutokana na umati mkubwa wa watu waliofurika kwenye viwanja vya CCM mkoani Kilimanjaro wakati Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, alipofika kwenye ofisi hizo kuomba wadhamini baada ya kuchukuaf omu za kuomba CCM imteue...
10 years ago
MichuziJANUARI MAKAMBA ATUA BUKOBA LEO, APATA MAPOKEZI MAKUBWA NA KUZOA WADHAMINI LUKUKI
Mh. January Makamba akisalimiana na Katibu wa Vijana Mkoa wa Kagera
Mh. January Makamba akisalimiana na Wanafunzi wa Sekondari waliokuwa Uwanjani hapo ambao bila Shaka walikuwa wanasoma masomo ya Ndege inavyoruka na kutua na mengineyo kiujumla leo jumatano juni 24, 2015. Picha na Faustine Ruta, Bukoba
January Akizungumza na wakazi wa Bukoba...
10 years ago
GPLJANUARY MAKAMBA AKIWA IRINGA KUSAKA WADHAMINI
10 years ago
MichuziJanuary makamba apata wadhamini Mkoani Njombe
10 years ago
VijimamboLOWASSA AZIDI KUVUNJA REKODI YA WADHAMINI, APATA 9516 MKOANI TABORA LEO
Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM waliofika kumdhamini pamoja na wananchi wengine, kwenye viwanja vya ofisi za CCM Tabora Mjini, leo Juni 12, 2015. Mh. Lowassa amepata udhamini wa wana CCM 9516 kwa mkoani Tabora, ikiwa ni muendelezo safari yake ya kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kimteue kuwania nafasi ya urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
10 years ago
MichuziMH. LOWASSA AZIDI KUVUNJA REKODI YA WADHAMINI, APATA 9516 MKOANI TABORA LEO
Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM waliofika kumdhamini pamoja na wananchi wengine, kwenye viwanja vya ofisi za CCM Tabora Mjini, leo Juni 12, 2015. Mh. Lowassa amepata udhamini wa wana CCM 9516 kwa mkoani Tabora, ikiwa ni muendelezo safari yake ya kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kimteue kuwania nafasi ya urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
10 years ago
MichuziProfesa Mwandosya asaka na kupata wadhamini wa kutosha mkoani Iringa