Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makamba azoa wadhamini 8,000 Singida

January MakambaNAIBU Waziri wa Mawasilianao, Sanyansi na Teknolojia, January Makamba amezoa wadhamani 8,300 na kuwasihi wakazi wa mkoa wa Singida kumuunga mkono katika safari yake ya kuelekea Ikulu ili mkoa uweke historia ya kuwa na Marais wenye chimbuko lao kutoka Singida.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LOWASSA AZOA WADHAMINI 3,000 GEITA, CHATO

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,(katikati), akipungia mkono  maelfu ya wana CCM na wananchi wengine waliofika kwenye ofisi za CCM wilayani  Geita Juni 8, 2015, kwa nia ya kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba  kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa  kufanyika Oktoba 25, 2015; Wakazi wa wilaya ya Geita, wakiwa juu ya nyumba na juu ya mti (picha ya...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE AZOA WADHAMINI ZAIDI YA 1900 MKOANI SINGIDA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiusalimia umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Mkoa wa Singida, waliofika katika Ofisi ya CCM ya Mkoa huo Juni 18.2015, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,900. Kushoto ni Katibu wa CCM wilaya ya Ikungi, Aluu Segamba. Picha zote na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano...

 

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa azoa wadhamini 3,000 Geita, Chato nako apata wa kutosha

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,(katikati), akipungia mkono maelfu ya wana CCM na wananchi wengine waliofika kwenye ofisi za CCM wilayani Geita Juni 8, 2015, kwa nia ya kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015; (Picha zote na K-VIS MEDIA)

Wakazi wa wilaya ya Geita, wakiwa juu ya nyumba na juu ya mti (picha ya chini), ili kumuona Waziri Mkuu wa zamani na...

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa azoa wadhamini K’njaro

Edward LowassaWAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amezidi kuvunja rekodi ya kudhaminiwa na wanachama wengi zaidi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Mkoa wa Kilimanjaro, baada ya kupata wadhamini 33,780.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE APATA MAPOKEZI MAKUBWA BUKOBA AZOA WADHAMINI

Msafara wa bodaboda ukiongozi msafara wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (hayupo pichani) baada ya kuwasili mjini Bukoba mkoani Kagera Juni 20.2015,kwa ajili ya kutafuta wadhamini wa kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 500 mkoani humo.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (mbele...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI BERNARD MEMBE APATA MAPOKEZI MAKUBWA BUKOBA, AZOA WADHAMINI LUKUKI

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Kagera mjini Bukoba Juni 20.2015, alipokwenda kwa ajili ya kutafuta wadhamini wa kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 500 mkoani humo. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE APATA MAPOKEZI MAKUBWA MOSHI MJINI AZOA WADHAMINI WAKUTOSHA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Mkoa wa Kilimanjaro, waliofika katika Ofisi ya CCM ya wilaya ya Moshi Mjini Juni 17.2015, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,250. Picha zote na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la...

 

10 years ago

Michuzi

January makamba apata wadhamini Mkoani Njombe

Mh January Makamba na mkewe wakiwasili katika ofisi za CCM Mkoa wa Njombe  ambapo walipokelewa na wanachama wa CCM aliokuwa na kikundi cha ngomaMh January Makamba na mkewe wakisalimana na baadhi ya wanachama wa CCM katika ukumbi mdogo wa CCM mkoani Njombe.Mh January Makamba akiwaka sahihi katika kitabu cha wageni katika ofisi za CCM mkoa wa Njombe.Mh January Makamba akipokea fomu yenye majina ya wanachama wa CCM wa Njombe waliomdhamini kutoka kwa katibu wa CCM moa wa Njombe, ndugu Mponzi....

 

10 years ago

GPL

JANUARY MAKAMBA AKIWA IRINGA KUSAKA WADHAMINI

Mheshimiwa January Makamba, akiwasili ofisi za CCM mkoa wa Iringa. Mheshimiwa January Makamba, akipokelewa na wanachama wa CCM Wilaya ya Iringa mjini.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani