Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA AZOA WADHAMINI 3,000 GEITA, CHATO

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,(katikati), akipungia mkono  maelfu ya wana CCM na wananchi wengine waliofika kwenye ofisi za CCM wilayani  Geita Juni 8, 2015, kwa nia ya kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba  kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa  kufanyika Oktoba 25, 2015; Wakazi wa wilaya ya Geita, wakiwa juu ya nyumba na juu ya mti (picha ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa azoa wadhamini 3,000 Geita, Chato nako apata wa kutosha

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,(katikati), akipungia mkono maelfu ya wana CCM na wananchi wengine waliofika kwenye ofisi za CCM wilayani Geita Juni 8, 2015, kwa nia ya kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015; (Picha zote na K-VIS MEDIA)

Wakazi wa wilaya ya Geita, wakiwa juu ya nyumba na juu ya mti (picha ya chini), ili kumuona Waziri Mkuu wa zamani na...

 

10 years ago

GPL

MAGUFULI AZOA WANACHAMA WAPYA MJI MDOGO WA MUGANZA WILAYANI CHATO, GEITA

   Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM, jana jioni katika viwanja vya Mji mdogo wa Muganza, wilayni Chato Mkoani Geita, Mh. Magufuli amezoa wanachama wapya waliorudisha kadi zao wapatao zaidi ya 150.   Dkt. Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM. Mh. Magufuli...

 

10 years ago

Habarileo

Makamba azoa wadhamini 8,000 Singida

January MakambaNAIBU Waziri wa Mawasilianao, Sanyansi na Teknolojia, January Makamba amezoa wadhamani 8,300 na kuwasihi wakazi wa mkoa wa Singida kumuunga mkono katika safari yake ya kuelekea Ikulu ili mkoa uweke historia ya kuwa na Marais wenye chimbuko lao kutoka Singida.

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa azoa wadhamini K’njaro

Edward LowassaWAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amezidi kuvunja rekodi ya kudhaminiwa na wanachama wengi zaidi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Mkoa wa Kilimanjaro, baada ya kupata wadhamini 33,780.

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA ATIKISA CHATO, MKOANI GEITA

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi ya Zamani ya Chato, Wilayani Chato, Mkoani Geita leo Septemba 16, 2015. Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnaji Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chato, Dkt. Benedicto Lukanima, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika...

 

10 years ago

GPL

LOWASSA APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI SIMIYU, APATA WADHAMINI 5,000

 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mpinduzi (CCM) na wananchi baada ya kupokea majina ya wanachama zaidi ya 5000 waliomdhani kugombea Urais mkoani Simiyu jana. Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakicheza baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kukabidhiwa majina ya wanachama wa chama hicho zaidi ya 5000 waliomdhani kugombea Urais mkoani Simiyu. Leo  Lowassa ...

 

5 years ago

Michuzi

KANALI MSTAAFU NDUGU NGEMELA LUBINGA AFANYA ZIARA WILAYA YA CHATO NA MBOGWE GEITA MKOANI GEITA.




Mlezi wa Mkoa wa Geita Ndugu. Ngemela Lubinga ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (Siasa na Uhusiano wa Kimataifa) amefanya ziara wilayani Chato na Mbogwe Mkoani Geita. 
Wilayani Chato Ndugu Lubinga amekagua na kujionea upanuzi wa Hospital ya Wilaya ya Chato pamoja na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa majengo matano ambao umekamilika kwa asilimia 97%. 
Aidha amekagua pia maendeleo ya ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mlimani ambao umejengwa kwa nguvu ya...

 

10 years ago

Michuzi

Lowassa awasili Geita kwa Kishindo, adhaminiwa na wana CCM 3,000

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa,(katikati), akipungia mkono maelfu ya wana CCM na wananchi wengine waliofika kwenye ofisi za CCM wilayani Geita Juni 8, 2015, kwa nia ya kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015; (Picha na K-VIS MEDIA)Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akipokea fomu za udhamini za CCM baada ya kujazwa na wananchama wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE AZOA WADHAMINI ZAIDI YA 1900 MKOANI SINGIDA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiusalimia umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Mkoa wa Singida, waliofika katika Ofisi ya CCM ya Mkoa huo Juni 18.2015, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,900. Kushoto ni Katibu wa CCM wilaya ya Ikungi, Aluu Segamba. Picha zote na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani