Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makamba: CCM wataleta amani

MGOMBEA ubunge jimbo la Bumbuli, January Makamba amewataka Watanzania ifikapo Oktoba 25, mwaka huu, wachague wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa watawaletea amani na si machafuko.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Epukeni uvunjifu wa amani -Makamba

Januari MakambaWANANCHI mkoani Kagera wameaswa kulinda amani kwa kuepuka uvunjifu wa amani, kutokana na tofauti za kidini au kisiasa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM wamkemea January Makamba

KAULI ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, ya kuwataka wazee waachane na mbio za urais 2015 kwa madai kuwa ni zamu ya vijana, imeelezwa kuwa ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makamba ahojiwa, ainanga CCM

NAIBU Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba, amehojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuikosoa CCM kwamba sio dhambi kutangaza nia mapema kuwania uongozi....

 

9 years ago

TheCitizen

Makamba: CCM will win elections by 69 per cent

Speaking to journalist at Lumumba, CCM National Executive Committee member, January Makamba, say the scientific research conducted by an independent institution shows that the ruling party is going to win in 2015 General Election.

 

9 years ago

Habarileo

Makamba apongeza Lowassa kukatwa CCM

KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba, amepongeza chama hicho kwa kukata jina la Edward Lowassa, katika kundi la wawania urais wa chama hicho kwa kuwa hakuwa na sifa za kuwa Rais.

 

9 years ago

Mwananchi

Makamba: Sababu za CCM kushinda hizi hapa

Oktoba ni mwezi wa kihistoria kwa Watanzania katika mwaka 2015 kutokana na ukweli kwamba watapiga kura kuchagua rais, wabunge na madiwani.

 

10 years ago

Mwananchi

Makamba: Enzi za ushindi wa kishindo CCM zimepita

Siku chache baada ya matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuonyesha kuwa CCM, imeporomoka, Mbunge wa Bumbuli, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amewataka wanachama wa chama hicho kujiandaa kisaikolojia kwa matokeo yoyote yanayoweza kutokea katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Hakuna mtia nia anayeweza kuimega CCM -Makamba

Januari Makamba.WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amemaliza mchakato wa kuomba udhamini kwa wanachama wa chama hicho kutokubali kujaribu kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho kwa kufuata mkumbo kama ngoma ya mdundiko.

 

10 years ago

Mwananchi

Makamba: CCM isipitishe watoa rushwa kugombea urais 2015

Moja kati ya vitu vinavyotajwa kurudusha nyuma maendeleo ya Tanzania ni kushamiri kwa rushwa katika sekta mbalimbali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani