Makamba: Taifa linahitaji uponyaji
NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Januari Makamba, ametaka viongozi wa dini kuwa makini na wasaka uongozi kwa kuwa Taifa linahitaji uponyaji kwa changamoto zinazolikabili.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Viongozi wa dini: Taifa linahitaji ukarabati
BAADHI ya maaskofu, wachungaji na wainjilisti kutoka madhehebu mbalimbali ya dini wameelezea hali ya siasa nchini na kusema kuwa taifa linahitaji kukarabatiwa. Hayo yalisema mbele ya waandishi wa habari Dar...
9 years ago
Mwananchi06 Sep
‘Ofa’ ya Makamba yaamsha ‘mabadiliko’ Uwanja wa Taifa
9 years ago
Mzalendo Zanzibar06 Sep
Ofa’ ya Makamba yaamsha ‘shangwe za UKAWA’ Uwanja wa Taifa
Makamba aruhusu washabiki uwanja wa taifa kwenye mechi ya Taifa stars na Nigeria lakini wakamgeukia kuanza kutumia sherehe za UKAWA.
The post Ofa’ ya Makamba yaamsha ‘shangwe za UKAWA’ Uwanja wa Taifa appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mwananchi17 Oct
Suala la kusimama mita 200 linahitaji busara
10 years ago
Mwananchi12 Jul
January,makamba,wanaCCM,halmashauri,Taifa,January,Membe,wagombea,mapinduzi,chama,maoni,Amina,Migiro