Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wa dini: Taifa linahitaji ukarabati

BAADHI ya maaskofu, wachungaji na wainjilisti kutoka madhehebu mbalimbali ya dini wameelezea hali ya siasa nchini na kusema kuwa taifa linahitaji kukarabatiwa. Hayo yalisema mbele ya waandishi wa habari Dar...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Ahimiza viongozi wa dini kuombea Taifa

WAKATI Taifa likielekea katika kura ya maoni ya Katiba Mpya na Uchaguzi Mkuu, viongozi wa dini nchini wametakiwa kutumia muda wao kuliombea taifa kuwa na amani na kulivusha salama katika matukio hayo makubwa.

 

9 years ago

Michuzi

Mkutano wa Tume ya Taifa Ya Uchaguzi na Viongozi wa Dini

Tume ya Taifa ya uchaguzi Makao makuu, hapo kesho inatarajiwa kupokea fomu za uteuzi za vyama 13 kwa ajili ya uteuzi wa nafasi ya kugombea urais kwa ajili ya uchaguzi mkuu ambao utafanyika hapa nchini mwezi oktoba mwaka huu.  Akizungumza katika mkutano wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na wawakilishi kutoka katika madhehebu ya dini hapa nchini katika hoteli ya New Africa jijini Dar es salaam leo, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damiani alisema uchaguzi mkuu wa Mwaka huu...

 

10 years ago

Habarileo

Bilal ataka viongozi wa dini kuombea taifa amani

Makamu wa Rais, Dk Ghalib BilalMAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Bilal amewataka viongozi na waumini wa dini zote nchini, kuombea taifa ili Uchaguzi Mkuu na kura ya maoni kwa ajili ya Kkatiba Inayopendekezwa zimalizike kwa amani na utulivu.

 

11 years ago

Habarileo

Makamba: Taifa linahitaji uponyaji

Januari MakambaNAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Januari Makamba, ametaka viongozi wa dini kuwa makini na wasaka uongozi kwa kuwa Taifa linahitaji uponyaji kwa changamoto zinazolikabili.

 

5 years ago

Michuzi

"NAOMBA VIONGOZI WA DINI ZOTE KUUNGANA KULIOMBEA TAIFA MWAKA HUU WA UCHAGUZI" MHE. MBOWE


Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe Freeman Mbowe (Mb), ametoa ombi maalum kwa Mtume na Nabii Josephat Mwingira  kuungana na Viongozi wengine wa kiroho kutoka dini zote kuliombea taifa katika mwaka huu wa Uchaguzi Mkuu.

Mhe. Mbowe ameyasema hayo kwenye ibada maalum ya kuombea na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa baba wa Nabii na Mtume wa Kanisa  la Huduma ya Efatha, Josephat Mwingira, Mzee Elias Mwingira, leo Jumamosi 22 Februari 2020, Kwa Mathias, Kibaha mkoani Pwani.

"Ombi langu maalum kwako...

 

11 years ago

Michuzi

REBECA MALOPE AWAKUNA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA,NGELEJA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KULIOMBEA TAIFA

Pichani kati Mgeni rasmi,Mh.William Ngelleja akizindua albamu mpya ya nyimbo za injili ya muimbaji Grace Mwikwabe (pichani shoto) na kulia ni Mkurugrenzi wa Msama Promotions ambao ndio waandaji wa matamasha hayo ya pasaka na Xmass. Mgeni rasmi katika muendelezo wa tamasha la Pasaka,ambaye ni Mbunge wa jimbo la Sengerema,Mh.William Ngereja akizungumza machache mbele ya umati mkubwa wa wakazi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kwenye tamasha hilo,Ngeleja aliwataka viongozi mbalimbali kuliombea...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI ZA MCHEZO WA VIONGOZI WA DINI ULIOCHEZWA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR

Mshambuliaji Machachari wa timu ya Mshikamano (kulia) akijaribu kutaka kumtoka beki wa timu ya Amani katika Mchezo uliowakutananisha viongozi wa Dini nchini ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha Amani na Mshikamano kwa Taifa la Tanzania uliocheza jana kwenye Uwanja wa Taifa,jijini Dar es Salaam.hadi mwisho wa Mchezo timu ya Amani ilishinda goli 1-0.Picha na Othman Michuzi.Golikipa hodari kabisa wa timu ya Amani akidaka mpira kwa uhodari mkubwa katika Mchezo uliowakutananisha viongozi wa Dini nchini...

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA DINI WAKEMEA MAOVU YANAYOFANYWA KWA MGONGO WA DINI

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii Dar
Viongozi wa dini za kiislaam na kikristo wamesema dini ni za unyenyekevu na sio za kufanya maovu,ikitokea mtu mmoja katika imani anafanya maovu ni lazima akemewe ndani ya imani yake kwanza.
Wameyasema hayo leo katika kongamano la kujadili madhara ya misimamo mikali ya imani za kidini (Tafkiri) katika jamii na taifa lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kufungua kongamano hilo Katibu wa Taasisi za...

 

10 years ago

Michuzi

Mangula awataka viongozi wa dini wasiwapotoshe wananchi kuhusiana na kuwapo kwa masuala ya dini katika katiba pendekezwa

Makamu Mwenyekiti wa CCM bara, Philip Mangulla akizungumza na wanafunzi na waalimu wa shule ya Hagafilo mkoani Njombe kuhusiana na katiba pendekezwa na utofauti kati ya katiba pendekezwa na ya sasa. wanafunzi na waalimu wakimsikiliza Makamu mwenyekiti wa CCM bara Philip Mangula juzi wakati akiwapa ufafanuzi wa katiba Pendekezwa.(picha na furaha eliabu wa www.eliabu.blogspot.com)
Na Furaha Eliab, Njombe
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Philip Mangula amesema kuwa viongozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani