Mkutano wa Tume ya Taifa Ya Uchaguzi na Viongozi wa Dini
Tume ya Taifa ya uchaguzi Makao makuu, hapo kesho inatarajiwa kupokea fomu za uteuzi za vyama 13 kwa ajili ya uteuzi wa nafasi ya kugombea urais kwa ajili ya uchaguzi mkuu ambao utafanyika hapa nchini mwezi oktoba mwaka huu. Akizungumza katika mkutano wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na wawakilishi kutoka katika madhehebu ya dini hapa nchini katika hoteli ya New Africa jijini Dar es salaam leo, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damiani alisema uchaguzi mkuu wa Mwaka huu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogHOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MHE. JAJI WA RUFAA (MST) SEMISTOCLES KAIJAGE KWENYE MKUTANO WA TUME NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA MWL. NYERERE TAREHE 23 MACHI, 2020
• Mheshimiwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,• Waheshimiwa Wajumbe wa Tume,• Mkurugenzi wa Uchaguzi,• Msajili wa Vyama vya Siasa,• Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa,• Viongozi wa Vyama vya Siasa,• Mwakilishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu,• Inspekta Jenerali wa Polisi,• Kamishna Mkuu wa Uhamiaji• Watendaji wa Tume,• Waandishi wa Habari,• Mabibi na Mabwana
Bwana...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/R3JBFzh4sSA/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-EJ5QpBnXe5A/VNydOLrDqdI/AAAAAAAHDT8/n99ReY6KxJw/s72-c/DSC_0102.jpg)
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VIONGOZI WA SIASA LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-EJ5QpBnXe5A/VNydOLrDqdI/AAAAAAAHDT8/n99ReY6KxJw/s1600/DSC_0102.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-4_VimAVnaM0/VNydSNlDD-I/AAAAAAAHDUE/iGc03qaDEFY/s1600/DSC_0091.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-EJ5QpBnXe5A/VNydOLrDqdI/AAAAAAAHDT8/n99ReY6KxJw/s72-c/DSC_0102.jpg)
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VIONGOZI WA SIASA JIJINI DAR LEO.
![](http://1.bp.blogspot.com/-EJ5QpBnXe5A/VNydOLrDqdI/AAAAAAAHDT8/n99ReY6KxJw/s640/DSC_0102.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-4_VimAVnaM0/VNydSNlDD-I/AAAAAAAHDUE/iGc03qaDEFY/s640/DSC_0091.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Gwo4-GJfrtM/XlFGOkgh5EI/AAAAAAALe1M/HEwwAelSgBorpZgpIOwAYAqILeklngnCACLcBGAsYHQ/s72-c/84964047-2bfe-41b8-a1cb-d4ac20957042.jpg)
"NAOMBA VIONGOZI WA DINI ZOTE KUUNGANA KULIOMBEA TAIFA MWAKA HUU WA UCHAGUZI" MHE. MBOWE
![](https://1.bp.blogspot.com/-Gwo4-GJfrtM/XlFGOkgh5EI/AAAAAAALe1M/HEwwAelSgBorpZgpIOwAYAqILeklngnCACLcBGAsYHQ/s640/84964047-2bfe-41b8-a1cb-d4ac20957042.jpg)
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe Freeman Mbowe (Mb), ametoa ombi maalum kwa Mtume na Nabii Josephat Mwingira kuungana na Viongozi wengine wa kiroho kutoka dini zote kuliombea taifa katika mwaka huu wa Uchaguzi Mkuu.
Mhe. Mbowe ameyasema hayo kwenye ibada maalum ya kuombea na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa baba wa Nabii na Mtume wa Kanisa la Huduma ya Efatha, Josephat Mwingira, Mzee Elias Mwingira, leo Jumamosi 22 Februari 2020, Kwa Mathias, Kibaha mkoani Pwani.
"Ombi langu maalum kwako...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-kyR4d70XWxI/UyAl-VhxwWI/AAAAAAACcJM/VrFhg5yeakc/s72-c/IMG_4357.jpg)
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA SIASA MKOANI IRINGA LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-kyR4d70XWxI/UyAl-VhxwWI/AAAAAAACcJM/VrFhg5yeakc/s1600/IMG_4357.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-wrwjQa2WTS4/UyAl-HBk_JI/AAAAAAACcJE/SLoGZjxQKIs/s1600/IMG_4401.jpg)
11 years ago
Michuzi12 Mar
9 years ago
GPLTUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATAJA TAREHE YA UCHAGUZI LUSHOTO, ULANGA MASHARIKI