MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA WIKI YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUPANDA MITI KATIKA KAMBI YA KIKOSI CHA JESHI LA KUJENGA TAIFA RUVU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohameed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Mazingira Duniani, wakati alipofika kwenye Kambi ya JKT Ruvu kwa ajili ya kupanda miti ikiwa ni sehemu ya uzinduzi huo, ambapo jumla ya miti 8,000, imeandaliwa kupandwa katika eneo hilo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti katika eneo la Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa, JKT Ruvu, ikiwa ni sehemu ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KIWANDA CHA COCACOLA MWANZA KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO, KATIKA KITUO CHA KUTUNZIA KUMBUKUMBU CHA TAIFA (NATIONAL INTERNET DATA CENTRE) KIJITOMYAMA.
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Wizara ya Uchukuzi yaadhimisha wiki ya Mazingira Duniani kwa kufanya usafi na kupanda Miti Bandarini
Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira wa Wizara ya Uchukuzi, Bi, Tumpe Mwaijande (kulia), akipanda mti katika eneo la bandari ya Dar es Salaam jana, kama sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Mazingira. Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira yanafanyika kitaifa mkoani Mwanza ambapo kwa mwaka huu kauli mbiu ni ‘Tunza mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi Tanzania’.
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu wizara ya Uchukuzi, Bw. Issa Nchasi, akifanya usafi katika eneo...
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI, MKOANI TANGA.
10 years ago
Dewji Blog11 Dec
Makamu wa Rais Dkt. Bilal ahutubia wawakilishi wa Afrika katika mkutano wa mazingira duniani (Cop20) Jijini Lima, Peru
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Wataalam ya Afrika katika masuala ya Majadiliano ya Mabadiliko ya Tabianchi kutoka nchini Sudan, Nagmeldin El-Hassan, wakati alipokuwa akiwasili katika ukumbi wa mikutano kwa ajili ya kuzungumza na wawakilishi wa Afrika katika mkutano wa Mazingira Duniani (Cop20) unaoendelea jijini Lima, nchini Peru. (Picha na OMR).
Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
10 years ago
MichuziMakamu wa Rais Dkt. Bilal azindua kituo cha Afya cha Ghana,Unguja leo
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA KOMPYUTA CHA SKULI YA KIEMBE SAMAKI ZANZIBAR WAFANYIKA
10 years ago
GPLMAKAMU WA RAIS, DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA KOMPYUTA CHA SKULI YA KIEMBE SAMAKI ZANZIBAR WAFANYIKA