Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKAMUA: WAKALI KWANZA LIMEBAKI JINA TU

Makamua akihojiwa na Global TV Online.
MAKALA NA ANDREW CARLOS
WAKALI kwanza ni moja kati ya makundi ambayo yalitikisa sana katika muziki wa Bongo Fleva mwaka 2006-2009. Kundi hili lilibebwa na vichwa vyenye madini, Josline, Makamua na Q-Jay. Mashabiki wengi walipenda nyimbo zao na miongoni mwa wimbo ambao ulitikisa sana ni pamoja na ule wa Natamani. Makamua, mmoja kati ya vichwa vilivyokuwa vikiunda kundi hili juzikati...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Video: Kitwana Ft Makamua — Nyie

Video mpya ya msanii Kitwana akimshirikisha Makamua wimbo unaitwa “Nyie” video imeongozwa na Hanscana

 

10 years ago

Bongo Movies

Makamua Kuibukia Bongo Movies

Staa wa Bongo Fleva kutoka kundi la wakali kwanza, anatarajia kuigiza filamu ya maisha ya muziki itakayoitwa “Bongo na Fleva”.  

Akiongea na E-News ya EATV,  Makamua alisema filamu hiyo itahusisha pia mastaa wengine wakubwa wa Bongo Flava na kwamba mpaka sasa mradi huo umekwisha kamilika.

Karibu sana.

 

11 years ago

Bongo5

Makamua kuingia studio na Ommy Dimpoz

Mkali Kwanza, Makamua amesema anatarajia kuingia studio na Ommy Dimpoz ili kuaanda wimbo wake mpya. Akizungumza na kipindi cha The cruise cha East Africa Radio, Makamua amesema kuwa katika ngoma hiyo yeye binafsi ameshaingiza vocal na anamsubiri Ommy akamilishe sehemu yake. “Ngoma inayofuata nafanya na Ommy Dimpoz na nimeshafanya na nimeshaongea na Ommy na nadhani […]

 

9 years ago

Bongo5

Makamua: Nina nyimbo zaidi ya 100 zipo ndani

Muimbaji wa R&B, Mack Paul Sekimanga aka Makamua amewataka mashabiki wa muziki wake kusubiria ujio wake mpya akiwa chini ya Mj Records. Makamua ameiambia Bongo5 kuwa, ana nyimbo zaidi ya 100 alizorekodi katika studio tofauti tofauti ila anachohitaji sasa hivi ni ujio mpya akiwa chini ya Mj Records. “Nimefanya kazi na producers tofauti tofauti lakini […]

 

11 years ago

GPL

MAKAMUA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE

Msanii wa Bongo Fleva, Mackpaul Sekimanga 'Makamua' akilonga na Global TV Online. Mtangazaji wa Global TV Online, Erick Evarist akimuweka mtu kati Makamua.…

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Sparrow f/ Makamua, T Nock and Solace — Sparrow

Tazama video ya wimbo wa rapper wa Mwanza aitwaye Sparrow akiwashirikisha Makamua, T Nock na Solace. Wimbo unaitwa hivyo hivyo kama jina lake Sparrow.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani